Recent content by mfate42

  1. mfate42

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Mla mtama hapa Kuna la kujifunza
  2. mfate42

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau adai Gaza hakuna njaa, wamekuwa wakiruhusu misaada kipindi chote cha vita

    Wameshindwa kabisa kumuondoa duniani huyu kibwengo
  3. mfate42

    JamiiForums Tanzania Je Rais Samia atavunja mwiko wa historia ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Tanzania kwa miaka 15 mfululizo baada ya Mwl. Nyerere?

    Ile ya kupokezana kwa muislamu na mkristo kwenye urais naona inaenda kufutwa rasmi...
  4. mfate42

    JamiiForums Tanzania Wezi wa mizigo kwa kufungua mabuti ya mabasi yakiwa kwenye foleni maeneo ya mkambarani-Morogoro

    Dah Asante Sana ndg yangu ntaongeza umakini
  5. mfate42

    JamiiForums Tanzania Tbc taifa Wameanza kuchamgamka

    Sio TZ ndug yangu
  6. mfate42

    JamiiForums Tanzania Arusha Jiji amkeni

    Chuga sio ile ya kina njeree na mamong'ooo
  7. mfate42

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

    Dah ndan pa moto
  8. mfate42

    JamiiForums Tanzania Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

    Huyu mjanja ,.hajataja ni Mama Samia wa wapi?..akipelekwa mahakamani atasema sijamtaja mtu cheo chake
  9. mfate42

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya: Samia Kaongeza Tsh. 90,000 tu basi! hii ni dharau sana kwa wafanyakazi

    Yan awamu zote sita bado kima Cha chini hakijafika milioni..this is disrespect..ndg zangu
  10. mfate42

    JamiiForums Tanzania Mohammed Hussein athibitisha kuondoka Simba

    Mimi ni Nani nisihame
  11. mfate42

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    Manufaa ya watu wachache... Mtoto kapewa uwaziri mnategemea Nini..sisi tumebaki kusifu na kuabudu tu mitandaoni..tumeng'anga
  12. mfate42

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    Manufaa ya watu wachache... Mtoto kapewa uwaziri mnategemea Nini..sisi tumebaki kusifu na kuabudu tu mitandaoni..
  13. mfate42

    JamiiForums Tanzania CCM nyaya zimegusana

    Kwanini 2025?.
  14. mfate42

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

    Mlimani city huwa zinapatikana used cars?
Back
Top Bottom