Recent content by Mfarisayomtata

  1. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Kipanya Tena

    creative thinking!!
  2. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya makaburi ya viongozi na ya watawala

    Zikuze Basi.
  3. Mfarisayomtata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Barani Afrika 'CAF' Azam FC dhidi ya Triangle United, Wazimbabwe Lazima Wakae!

    😂😂😂😂😂😂😂😂
  4. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    😲😲😲😲😲😲😲
  5. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Oya Peter ee, tuma na nyingine Basi.
  6. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Mh. Jafo hili la maziwa utatusamehe.

    mkuu angalia hapo tbc sasahivi labda utaelewa vizuri hii kauli ya muheshimiwa.
  7. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Mh. Jaffo hili la sisi wanaume kuacha kunyonya maziwa utatusamehe kwa kweli.

    Yeye amesema kuacha kunyonya maziwa ya mtoto tu, Sasa sijui kuna mabaharia wananyonya kabisa maziwa yenyewe ama la.
  8. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Mh. Jafo hili la maziwa utatusamehe.

    Nilikuwa naangalia taarifa ya habari tbc mchana huu nimeona waziri jaffo ametushauri sisi wanaume kuacha kunyonya maziwa ya mtoto, mneshimiwa sisi wengine bila kunyonya maziwa hata usingizi hauji ni kama dawa ya usingizi.
  9. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Mh. Jaffo hili la sisi wanaume kuacha kunyonya maziwa utatusamehe kwa kweli.

    Nilikuwa naangalia taarifa ya habari tbc mchana huu nimeona waziri jaffo ametushauri sisi wanaume kuacha kunyonya maziwa ya mtoto, mneshimiwa sisi wengine bila kunyonya maziwa hata usingizi hauji ni kama dawa ya usingizi.
  10. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni member wa SADC?

    Ila tunamshukuru ameleta ngoma tunaburudika nayo hapa mubashara.
  11. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni member wa SADC?

    Mimi naona shein kwa haya mambo ya kimataifa hata kabudi anamzidi.😂😂😂😂😂 Yeye anaishia NUNGWI tu.
  12. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni member wa SADC?

    Yani wewe ni rais afu umekaa kwa watazamaji! Dah, mi ningekuwa shein ata nisingetia mguu wangu hapo.
  13. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Degree mpaka Diploma

    Habari wakuu, mdogo wangu amesoma B.A in Public Relations and advertising pale UDSM, kasugua Gaga mtaani miaka miwili Sasa ameamua kusoma diploma ya Clinical medicine chuo flani, Sasa je Kuna uwezekano akapunguza msoto kidogo na kupata pa kujishikiza??
  14. Mfarisayomtata

    JamiiForums Tanzania Bachelor Hadi Diploma

Back
Top Bottom