Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari tbc mchana huu nimeona waziri jaffo ametushauri sisi wanaume kuacha kunyonya maziwa ya mtoto, mneshimiwa sisi wengine bila kunyonya maziwa hata usingizi hauji ni kama dawa ya usingizi.