Kipato cha 1.2M kwa mwezi, kwahiyo nimshahara. Kama ndicho kipato chako no way ukawa bilionea. Chukua maamuzi magumu, fanya biashara. Anza kama walivyoanza mzee Mengi, Bakheresa, kwa ufupi jifunze kutoka kwa mabilionea unaowafahamu kama Stive Job, Bill Gates, Warren Buffet n.k. mwisho soma Rich...