Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni.
Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished.
Maeneo ya kinondoni, au karibu na town.
Whatsapp +48519634862
Habari Wadau,
Natafuta gari ndogo (Sedan) ya kukodisha kwa matumizi binafsi route za Dar tu, dereva nitakuwa mwenyewe, wiki 2 kuanzia 27 March 2023.
For now niko abroad ila tunaweza arrange in advance.
If any deal is available, please whatsapp me via +48573178655
Regards.
Mlikimbia Physics ya form 2 kwenye Static Electricity.
Inaitwa Getting Zapped! Na inaonekana una bed sheet of synthetic nature na humidity at your home is too low.
Technically caused by Triboelectric effect caused by static cling >>Electrification by contact .
Sio tu bed sheet au blanket...
Nimefanya kazi na amazon (french site), CS agent. Kwa policy za Amazon inabidi uwe umejipanga kweli kweli, maana wao ni customer satisfaction oriented so anything fishy with the product or shipping /delivery it will costs you. I'm not scaring you but 90% of the time 3tier Marketplace Sellers...
Wakuu habari!
Hivi hii course ya Aircraft Maintenance Engineering inayotolewa na NIT future yake kwa Tanzania ikoje? Je ni dili a dirisha ?
Naomba ushauri.
Thanks
Masters scholarship in Poland , fully funded (Monthly allowance+ Tuition fees) / DEADLINE 16 MARCH 2020.
Eligibility:
1. ONLY Science background (bachelor degree) graduates.
In this program masters program offered are courses ranging from engineering and technical sciences, agricultural...
Masters scholarship in Poland , fully funded (Monthly allowance+ Tuition fees)
Eligibility :
1. ONLY** Science background (bachelor degree) graduates.
In this program masters program offered are courses ranging from engineering and technical sciences, agricultural sciences, exact sciences...
https://scholarshipscorner.website/list-of-international-internships-2020/?fbclid=IwAR2MlcN34fWKYnwlLjKBEZo80XxTaKa5_T4IsX7HgiZQEO_eld9w00YjBC0
Or check
https://iaeste.org/
Or whatsapp me for more assistance +48519634862
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika tunakumbushwa kua hatuishi siku zote, na kifo ni fumbo la mwanadamu. Cha msingi tutumie matukio kama haya kujifunza na kuweka record yasitokee tena hasa kwa kupunguza maafa yake. Nakumbuka nikiwa mdogo lishawai tokea tukio la hivi hivi na kisa ni uchotaji mafuta wa namna hii mara ajali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.