NIT: Bsc. Air Craft Maintenance Engineering

Metadata

Senior Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
186
Reaction score
125
Wakuu habari!

Hivi hii course ya Aircraft Maintenance Engineering inayotolewa na NIT future yake kwa Tanzania ikoje? Je ni dili a dirisha ?

Naomba ushauri.

Thanks
 
Mafunzo kwa vitendo

255752379502_status_be2d9776dbb643cbbdab48da4aedbde6.jpg
 
Wakuu habari!

Hivi hii course ya Aircraft Maintenance Engineering inayotolewa na NIT future yake kwa Tanzania ikoje? Je ni dili a dirisha ?

Naomba ushauri.

Thanks

hii kozi tafuta certificate tu hapa bongo au kama umeamaliza form six.
tafuta scholarship kapigie USA,south africa,UK,france na Urusi.

utakuja kunishukuru.

na ukimaliza juu kwa juu kazi utakuwa umepata.
kuna mtu namfaahamu nilimshauri alikuwa kipanga sana kapiga makozi ya injini za mandege hayo ,kapata na uraia na kwa habari za chini kaingizwa jeshini.

ilikuwa miaka 2010 tokea kuondoka kwake
 
Wakuu habari!

Hivi hii course ya Aircraft Maintenance Engineering inayotolewa na NIT future yake kwa Tanzania ikoje? Je ni dili a dirisha ?

Naomba ushauri.

Thanks
Umenikumbusha petrolium engineering! Anyways mwisho wa siku hamna mtu anaye ijua kesho kama unaipenda kasome mambo ya ajira mtajuana mkimaliza.

NB: Kama hujachagua nakushauri ukasome civil au mechanical au electrical! Hizo ndio kozi mama za uhandisi hapa duniani na kwa nchi kama yetu hutolala njaa ukizisoma
 
soma ukikosa ndege utatengeneza gari
 
Kasome kazi zipo.
Ukiweza kasomee nje ya nchi.
 
Umenikumbusha petrolium engineering! Anyways mwisho wa siku hamna mtu anaye ijua kesho kama unaipenda kasome mambo ya ajira mtajuana mkimaliza.

NB: Kama hujachagua nakushauri ukasome civil au mechanical au electrical! Hizo ndio kozi mama za uhandisi hapa duniani na kwa nchi kama yetu hutolala njaa ukizisoma
Hongera yako kwa kuwapa nondo vijana,
 
Umenikumbusha petrolium engineering! Anyways mwisho wa siku hamna mtu anaye ijua kesho kama unaipenda kasome mambo ya ajira mtajuana mkimaliza.

NB: Kama hujachagua nakushauri ukasome civil au mechanical au electrical! Hizo ndio kozi mama za uhandisi hapa duniani na kwa nchi kama yetu hutolala njaa ukizisoma
umemshauri kwa moyo wote...
 
Back
Top Bottom