Recent content by Mesorphine

  1. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye uchaguzi bora wa pc kati ya Hp na lenovo kwa zinazofanana specs

    Kuzingatia brand au specification nilizotaja .?
  2. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye uchaguzi bora wa pc kati ya Hp na lenovo kwa zinazofanana specs

    Ahsante mr kwa kunipa mawazo ya pakuanzia. Information za battery sijafanikiwa ila mwenye duka ndio specs alizoonesha tu hizo na mimi nikazileta kwenu japo wengi wananishauri Lenovo V14 IRL Au Hp 240R G10 sasa changamoto napata yupi ana thickness ndogo na nyepesi kuliko mwenzake na speed...
  3. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa: MacBook pro 2019

    Nimeiona ila display screen kwangu imekuwa kubwa. Ingekuwa 13.5 au 14 inchi nahis ningemcheki
  4. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye uchaguzi bora wa pc kati ya Hp na lenovo kwa zinazofanana specs

    Hello wanajamii forum. Naomba mnisaidie mawazo katika hizi pc hapa chini, ipi itanifaa kwa vielelezo nilivyoweka mwisho ikiwa zote zinauzwa bei sawa 1. Lenovo Model: idealpad slim 14AMNA size: 14 inch Processor: AMD RYZEN 5 40 RAM : 8GB HARD DRIVE: 512 GB SSD 2. HP MODEL: 240R G10 SIZE: 14...
  5. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ngoja nikajaribu mana nabahatisha bado sijawa vzuri kwenye matumizi ya jamiiforum
  6. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Hello wanajamii forum. Naomba mnisaidie mawazo katika hizi pc hapa chini, ipi itanifaa kwa vielelezo nilivyoweka mwisho ikiwa zote zinauzwa bei sawa 1. Lenovo Model: idealpad slim 14AMNA size: 14 inch Processor: AMD RYZEN 5 40 RAM : 8GB HARD DRIVE: 512 GB SSD 2. HP MODEL: 240R G10 SIZE: 14...
  7. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🙏🙏🙏
  8. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwahio kama Nimeweka Group qualification- Tanzania No Kumbe nisubiri Hela tuu. Mana nimewin
  9. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hello wadau, Kwa wale tuliobet Tanzania asi qualify Na akaenda kama best loser Kuna ambao mshalipwa. Group qualification- Tanzania No
  10. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hello wadau, Kuna anaecheki game ya Tottenham Hotspur kama anadalili za kupata Goli...? Au Nicash out tuu kidgo kilichopo kuokoa jahazi??
  11. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni huduma gani ya uhakika?

    Hii plastic card unaipata wapi Na Je unaitumia kwenye sehemu Gani mana Kuna maeneo yana bank zile common tuu Sasa hio card itakuwaje
  12. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pamoja Na ushauri wako wa kutuaminisha hivyo lkn bado watu Wana win, hata kama mech zisipokuwa Na mchongo bado kubeti kutabaki kuwa kugumu tuu, mana kama huwez jua daki 50 zijazo utakuw wafanya nini hivyo hivyo kwenye ubashiri lzm kuwe Na wanaokula Na wanaoliwa.
  13. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Wimbi la walimu kuhama CWT Tanzania limeshika kasi

    Cwt ipo ili CHAKUWAHATA iwe na nguvu kama cwt, Na ndan ya hii miaka 2 watapiga milio tuu mana hata viongozi wa mkoa Weng wanajua Hali ilivyo Ila wanangoja Hali iwe tete Zaid waje Na sera mpya wakat Huo itakuwa wameshachelewa
  14. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Napingana na wanaosema Usiweke pesa yote kwenye biashara mpya

    Maneno mengi Lakin Kuna kitu yamemiss.... Yan una akili timamu uweze kupata 20m au 90m Ila anahitqji ushauri ili kuongeza kipato..?? Kwamba hio Hela ameiokota..?? Kwanini asitumie mbinu hizo hizo alizopata 20m au 90m? Kama kumshauri awekeze sehemu ya fedha kwa kusikilizia Ni umasikini Basi...
Back
Top Bottom