Recent content by MESHACK LUBINZA

  1. M

    Soko kuu la dhahabu lazinduliwa Chato, Waziri Biteko atoa maagizo

    Yaani hakuna wakati watu wa upinzani mmewahi kupoteza mwelekeo km ktk utawala huu maana hakuna hoja zenye mashiko tena Bali ni vioja tu. sasa kila jambo linalohusu chato ni kuponda tu bila hata hoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Part 2: TISS bado safari ngumu

    Hatari sn aisee.
  3. M

    RC Mwanri amsimamisha meneja wa TRA, aagiza uchunguzi uanze

    Ukweli na mm ni miongoni mwa wasioelewa unacho maanisha. Maana hawa Tra ni tatizo kubwa sn na wanaharibu maisha ya watu sasa hapo kosa la mkuu wa mkoa siyaoni.
  4. M

    Kwa Kauli hii tata na iliyojaa Mafumbo Mbunge Nape Nnauye amemaanisha nini na kamlenga nani Tanzania?

    Sikatai kwamba ktk serikali hii yapo mapungufu kadhaa lkn hii haimpi uharali wowote mtu km Nape leo kujifanya mkosoaji mkuu kwangu mm kumbukumbu za mambo ya hovyo yaliyofanywa na hawa kina Nape zibaki mbichi miaka zaidi ya miambili.
  5. M

    Naweza kukopa shilingi ngapi benki kwa mshahara wa laki 6?

    Hakuna mkopaji hapa wewe unataka kukopa pesa kutokea Jamiiforum kwa nn usiende bank moja kwa moja.
  6. M

    Kitabu: Je, wewe ni Shahidi wa Kristo - Jenerali Venance S. Mabeyo

    Sasa kweli insue km hii inaulazima gani mpaka uiwekee mitandaoni? Wewe ni mkatoriki kweli? Maana ungeweza kukaa kimya tu km hujui namna sahihi ya kufikisha hayo malalamiko yako mahala husika.
  7. M

    Kuhusu miradi mikubwa wilaya ya Chato

    Watu wamekosa hoja za msingi yamebaki majungu tu.
  8. M

    Rais Dkt. John Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta

    Acha kukuza mambo kwa kuongozwa na mihemuko ya kisiasa wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Rais Dkt. John Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta

    Hivi unaelewa kuwa urais ni taasisi na sio mtu? Ulitaka apongeze kabla tume haijatangaza ili iweje? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Rais Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kifamilia, kikabila na kikanda!

    Nina uhakika wa 100% Katibu mkuu wizara ya fedha sio mtoto wa dada yake na magufuli sababu ninamfahamu vzr. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    Lukuvi alienda Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Mjue Magufuli: Kushidwa ubunge 1985 '' Kuimarika sera zake B'mulo, Mgogoro Chato na Biharamulo

    Mbona hujahoji kwenye chama chako mgawanyo wa vyeo unapatikanaje? Sent from my HUAWEI G700-U10 using JamiiForums mobile app
  13. M

    Upinzani hoi! Hawana agenda tena!

    Lowasa na Sumaye walikua akina nani wakati miswaada hiyo inapitishwa na bunge?
Back
Top Bottom