Recent content by merck heri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Pogba tumelamba Jokeri

    Pole
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

    Wanajulikana kwa wanafunz tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania UDSM on Air...

  4. M

    JamiiForums Tanzania Atheism: Imani nusu na robo

    Mwishon ndo umeharibu unafanya maomb kwa namna unayoijua ww lakin hujui kaz ya maombi.kaz ya maombi ni kuachilia nguvu za kimungu(kwa mwamin) na nguvu hzo mungu huzitumia kujibu utakalo kwa kuwa mungu huutawala ulimwengu kwa kutumia wamwaminio.hoja c mungu kuckia kama ni hivyo haina haja ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mmoja na hajaribiwi

    Cha msingi ni kumwamin na kumwabu huwaokoa na kila aina ya hatar wale wamwaminio.gharika ilitokea akampandisha nuhu kwenye safin.lakin pia cc sote tu wake huvuna kwa njia atakayo. Note mungu huwaadhibu watu na nchi isiyo na haki na yenye dhuruma kwa wanyonge maneno yako yanatosha kusababsha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je ni Topics Zote za Hesabu/Mathematics zina Faida katika Maisha Yetu???

    Mbona linear pro kila MTU huitumia kwa kujua au kutojua katka biashara na ndo maana kama umesoma maswali yake mengi yanahusu biashara na kuanzisha milad kama kushona nguo,kununua vitu kwa lengo la kumaximize profit
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Wanasayansi wameeleza specific place ambapo solar eclipse itatokea na ikawa hvyo lakin ikumbukwe wakat yesu anakufa kupatwa kwa jua pia kulitokea nchi yote ikawa Giza so yanayotokea in just continuation.point ya msing kwa nn hao wanasayanc wanatumia theories kuelezea city kama why not reality...
Back
Top Bottom