Kwa Pogba tumelamba Jokeri

Ama hakika majuto ni mjukuu..! Tunajuta kukusajili Pogba, tumejichanga sana kupata hela ya kukusajili kipindi kile tukitegemea utakuja kuipa timu mafanikio......tulipigana kwa jasho na damu kupata ile hela ya usajili aisee.....nakumbuka mpaka hela nyingine ilibidi tumpige fix yule mnywa maji angalau tupate saini yako.....Laahaulaa..!!! Kumbe tulilambishwa jokeri na mchezo ukaisha.....Pogba nikukumbushe kwamba mpira pasi sio butubutu.....hii ligi inataka akili sio miguvu...,Na sasa hivi unaonekana umechanganyikiwa ndio maana unagombana na kila mtu.....Juzi from no where umegombana na wale jamaa wanaokusanya kiingilio kwenye mageti ya uwanjani.....yaani umegombana nao bila sababu ya msingi.....kama sababu ni kuwa ulihisi kwamba wale wakusanya kiingilio wanaweza kuitapeli timu mbona wewe ulikula hela za jezi za wale mashabiki wa jukwaa la kaskazini magharibi na tukakukaushia na wala hukuona aibu?......wale mashabiki wanalia hadi leo na jukwaa lao tangu litikisike hakuna juhudi yoyote ya kuwasaidia kulijenga....Pogba tumekusajili kwa hela nyingi tena bado huchezi vizuri, huku unawatapeli mashabiki hapohapo tena unajifanya mjuaji unagombana na kila mtu yaani full vurugu huku timu inazidi kuyumba....malipo ni hapa hapa ndugu yangu pogba...watch this space
Tatizo mlisajili bila kujua Pogba ni mbeba vyuma!!!!
 
Mechi ya mpira ni dakika tisini, bingwa anapatikana mwisho wa ligi kelele za nini? Au umeona pasi za Pogba zikipata forwadi hali itakuwa mbaya. Mashutimachache tu yamekutisha mpaka unaweweseka. Subiri dirisha dogo linaendelea, timu ikikamilika utajuta kumfahamu Pogba na migoli yenu ya mikono na offsides. Mbona kama vile siku hizi mumeacha kuongea kwa kuvuta sauti au mnabadili style na hata zile jezi zenu kama za walinzi sizioni kama zamani au sasa joto limezidi? Old Trafford inajaza uwanja, hatutegemei watoto pale si chekechea mpaka 2020 watu wanajaza nyomi ninyi mtabaki kuokoteza wakongwe wanaoachwa na club nyingine nafasi yenu itabaki pale pale. Jitayarisheni kidoti anashughulikiwa karibu atahama timu yeye na baba yake 2020 mtakuwa na kazi nyingine ya kuwatengeneza na kuwasafisha kina Ozil 'dhaifu' ili angalau muwe mnafunga magoli mazuri kwani hilo ndilo mnalolipenda, lakini ubingwa ng'ooooooo. Mtaisoma namba!
 
Pogba akiacha kucheza na jukwaa tutachukua kumbe msimu huu. Tatizo lake anapenda sana kushangiliwa na mashabiki sijui kazoea chandimu huyu jamaa!
 
Ama hakika majuto ni mjukuu..! Tunajuta kukusajili Pogba, tumejichanga sana kupata hela ya kukusajili kipindi kile tukitegemea utakuja kuipa timu mafanikio......tulipigana kwa jasho na damu kupata ile hela ya usajili aisee.....nakumbuka mpaka hela nyingine ilibidi tumpige fix yule mnywa maji angalau tupate saini yako.....Laahaulaa..!!! Kumbe tulilambishwa jokeri na mchezo ukaisha.....Pogba nikukumbushe kwamba mpira pasi sio butubutu.....hii ligi inataka akili sio miguvu...,Na sasa hivi unaonekana umechanganyikiwa ndio maana unagombana na kila mtu.....Juzi from no where umegombana na wale jamaa wanaokusanya kiingilio kwenye mageti ya uwanjani.....yaani umegombana nao bila sababu ya msingi.....kama sababu ni kuwa ulihisi kwamba wale wakusanya kiingilio wanaweza kuitapeli timu mbona wewe ulikula hela za jezi za wale mashabiki wa jukwaa la kaskazini magharibi na tukakukaushia na wala hukuona aibu?......wale mashabiki wanalia hadi leo na jukwaa lao tangu litikisike hakuna juhudi yoyote ya kuwasaidia kulijenga....Pogba tumekusajili kwa hela nyingi tena bado huchezi vizuri, huku unawatapeli mashabiki hapohapo tena unajifanya mjuaji unagombana na kila mtu yaani full vurugu huku timu inazidi kuyumba....malipo ni hapa hapa ndugu yangu pogba...watch this space

HUU mchezo hauitaji hasiraaa
 
Ni mchezaji mzur ila alikuzwa sana zaidi ya kile kiwango alichokua nacho...
 
Back
Top Bottom