Recent content by Mento wa Magogoni

  1. M

    Ghorofa lililoanguka Dar,Je kuwarudisha keko na kubadili kesi ni sawa

    Pambanuka ndugu ueleweke. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  2. M

    Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

    Ndugu upeo wako bado mchanga sana,habari ya R.O.M.A. Achana nayo,imekuzidi sana uelewa. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  3. M

    Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

    Tatizo binafsi yako hujitambui,sembuse kumtambua R.O.M.A? Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  4. M

    Wachaga sasa wahamia rasmi kuajiri wahindi na wachina: Sababu nilizozipenda hizi hapa

    Dahh,ahsante kwa Desa la ukweli. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  5. M

    Bei ya pikipiki

    Mada husika sio mahala pake hapa.
  6. M

    Waliofanya Interview ya PCCB

    Habari wanajamvi? Napenda kufahamu waliofanya Oral Interview pale PCCB, je wameshaitwa kazini?
  7. M

    Intelijensia ya Kagame yachemka mahesabu kwa Jenerali Nyamwasa 1+1=0

    Kamwe hato thubutu kuisogelea TZ,swaiba wake museveni amemuasa asithubutu.
  8. M

    Nimekwama,ninauza nyumba yangu chanika:

    Hapana siko ktk mradi wa viwanja elf 20,nisquarter area iliyo na barabara za mitaa, Najaribu kuweka attachment inashindikana labda baadae itakapo kubali.
  9. M

    Nimekwama,ninauza nyumba yangu chanika:

    Habari wandugu, Mimi ni kijana mjasiria mali hapa jijini dar,kama kawaida ya wajasiria mali tunakuza mitaji kwa njia ya mikopo mbalimbali kkama nilivyojaribu kufanya mimi. Kwa bahati mbaya sikufanikiwa kufikia lengo langu hivyo nimebaki na deni ktk taasis moja ya fedha. Kwa kua kimfaacho mtu...
  10. M

    Huduma za upimaji na utengenezaji ramani za viwanja

    Tuma cv ndugu,na mob contacts itakua rahisi sana.
  11. M

    Naomba nisaidiwe juu ya hili

    Gharama ya leseni ya biashara ni sh 40 elfu tu kama sijakosea na sii laki 2 ndugu.
  12. M

    Hii kutoka UTUMISHI mnaionaje?

    Usikariri mkuu Lutambi,shirika la posta sio ku deal na barua tu.Hayo ndio matokeo ya mawazo ya wazee wetu mpaka kupelekea hapo lilipo shirika la posta sasa. Wanaweza kutumia mfumo wa ki electronic na shirika la posta likabaki kua ndio mratibu mkuu wa shughuli nzima. Think globally but act...
Back
Top Bottom