Recent content by Meno Ya Ndovu

  1. Meno Ya Ndovu

    Hii ndiyo think tank team ya CHADEMA inayoleta ushindi mnono katika chaguzi mbali mbali

    CCM ipo madarakani kwa kutumia nguvu ya mamlaka na siyo kwa upendo wa umma
  2. Meno Ya Ndovu

    Kumbe chopa sio sanduku la kura

    Viongozi wa Chadema porojo nyingi........wanakatisha tamaa wajipange upya
  3. Meno Ya Ndovu

    Ugaidi sasa kuamia Angani Marikan na Izraeli Wahusika

    Onesha fact usituletee assumption hapa
  4. Meno Ya Ndovu

    Mtikila: Hakuna mtu jasiri nchi hii zaidi yangu!

    Kura lazima inapaswa kuwa ya siri, au ccm inataka kutumia nafasi hiyo kuwaburaza wa bunge wake pamoja na wajumbe walio pewa shavu na mkuu wakaya.....wanataka kuwajengea nidhamu ya woga hapo
  5. Meno Ya Ndovu

    Wenye magari jihadhari na Camel-Oil Tabata Sanene

    Vituo vya kuwekea mafuta kwa gari yako hapa dar Total , BP/Puma na Victoria hawa ndo uhakika, wengine wezi watupu.......Gapco walishaniwekea hewa mbumbavu zao, otherwise ukinunua mafuta kwao uhakikishe horse linatoa mafuta nasiyo linapuliza upepo
  6. Meno Ya Ndovu

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    Good mr President. ...
  7. Meno Ya Ndovu

    AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

    Hiyo siyo ajira bali ni matezo bora hata wangekuwa wanatembea nayo kulikoni, kusimama nalo pale siku nzima.....nawaonaga pale morocco hadi wanatia huruma
  8. Meno Ya Ndovu

    Kilimanjaro express na wizi wa mali za abiria

    Wewe mwenyewe mzembe kwanini uache vitu kama hivyo kwenye gari, unapaswa kushuka nazo kwa usalama zaidi.
  9. Meno Ya Ndovu

    Yanahitajika Maelezo ya Kina Billioni 8.2 Kukarabati Bunge tu?

    Le Mutuz kila kitu kinacho fanyika katika serikali ya MaCCM ni dili......kila mahala Ufisadi
  10. Meno Ya Ndovu

    Msaada: Mshahara PMGSS 7

    Tsh,339,900
Back
Top Bottom