Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
Salaaam wanajamvi,
Kwa machungu makubwa nnaomba niwataaadharishe wale wote wapenz wa bus za luxury kwamba znaulinz wa kutosha kwa KLM sio hivyo,leo nimesafiri toka Dar kuja Moshi lakini cha kushangaza wajanja wa nchi niwaite hivyo wameiba laptop yangu na pesa, wahudumu hawakutaka kunipa ushirikiano na wizi umetokea wakati wa kwenda kupata lunch pale highway Korogwe.
Kinachonisikitisha zaidi ni maelezo yaliyopo kwenye ticket yao yakiwa yanasomeka hivi "your safety is out concern" wataalam wa sheria na lugha mtanisaidia kulidadavua.
Angalizo tafuteni mabasi mengine yenye usalama na kuweni makini na assets zenu za gharama ndugu zetu wanaohudumi njaa kali inawaponza.