Recent content by Mengulu

  1. M

    Iran wazindua dege la kivita lenye uwezo wa kupenya rada za adui bila kuonenkana

    Hongera sana IRAN.May Allah bless u forever.
  2. M

    Tanzania's leading penny auction website

    Ni vizuri ndugu.Tuzidi kupeana updates
  3. M

    Jiko la gesi kwa biashara ya bakery au hoteli

    Hili lina deka ngap?
  4. M

    Utambulisho!

    Wakubwa shikamooni,warika langu mambo vp?Wadogo zangu nipeni vifijo na nderemo. Napenda kujumuika nanyi ktk hili jukwaa.Umri wangu ni miaka 25,ni kijana wa kiume,tena rijali.Ni matumaini yangu kuwa mtanipokea kwa stahiki.
  5. M

    Msaada wa waChina ulivyobadili maamuzi ya Serikali kuhusu gesi ya Mtwara.

    Hivi kweli malalamiko yote haya SERIKALI hayiyasikii?
  6. M

    Tanzania yafuzu awamu nyingine ya pesa za MCC: CONGRATS!!

    Nape mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ila bila kumumunya maneno kaka yangu wewe ni MBULULA na MBUMBUMBU.Hivi unadhani kiongozi wa wafungwa gerezani yeye ndiye msafi hana kifungo?Au tokea lini zulia likawa na uvungu?Hii misaada sio chochote kwetu Tanzania na kwa watanzania,hizi ni jojo kwa...
  7. M

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

    Tatizo vijana wengi mnaoingiaa kwenye siasa mnataka kuruka hatua muhimu.Yaani mtoto hawezi tembea kabla ya kutambaa. ONYO:Kuwa mpigania haki za watanzania inahitaji uvumilivu mkubwa sana.CHADEMA mbele daima.
  8. M

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Hakuna kizuri kisicho na kasoro.CHEDEMA itadumu daima na uhuru wa watanzania utapatikana.NINYI vijana wa kuja mtalala chali tu na sera zenu za kimasalia.
  9. M

    Sudan blames Israel for military factory explosion

    Nadhani Israel ya leo ni jina tu,waliomo mule kwa sasa ni wauaji tu
  10. M

    Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Yakhe,uongozi wa nchi ni ndhaifu,choche chonde wakristo,tuambieni tufanyaje ili kuweza pata uongozi imara.
  11. M

    usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Kwa akili ya haraka haraka bila shaka viongozi dhaifu wataamua kuhimiza nguvu za kijeshi zitumike,ili hali hao hao wanajeshi nao wanandugu zao miongoni mwa wanaoandamana.Hapa tuweke tofauti zetu pembeni na kukubaliana kuwa watanzania na sio watanzaudini
  12. M

    Mukama aibuka, aishambulia CHADEMA!

    Day dreaming is the problem to recently CCM leaders. ###### T 2015 CDM ######
  13. M

    Niliasisi CHADEMA si kwa lengo la kutafuta vyeo - Edwin Mtei

    Mzee umeongea vyema,maana timu yayote ile lazima iwe na mshikamano ndipo itashinda. Huwezi kuwa unawaza kumaliza mpira wakati ushindi hujapata.ZITTO kuwa na subira,Tanzania ni yetu sote.Pia kumbuka ndugu yangu ZITTO sio kila makaofi wanayokupigia ni ya sifa bali mengine yamejaa kejeli.
  14. M

    Mwamvita Makamba aula

    Pinda hajui kutumia vifaa vya kisasa,ikiwemo laptop au kompyuta ya aina yeyote.
  15. M

    Mambo ya "Dinner Suit" Mbugani: Diamond Platinum

    Tatizo ni mifumo tunayoitumikia.Huyu Kijana hajapata miongozo sahihi ili kuweza fikia kilele cha mafanikio.Hana meneja mwenye utimamu kabisa
Back
Top Bottom