kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
"Juzijuzi tulipokuwa tunateua majina ya wagombea, Kamati yetu ya maadili, **haikuacha kuchunguza hatua kwa hatua na kwa makini kama kila aliyeomba uongozi anazo sifa bora na zinakidhi viwango vya kushinda anayetakiwa kuondolewa yeye abaki, hivi ndivyo chama chenye misingi ya uadilifu ya uongozi kinavyokuwa", alisema Mukama na kuongeza:- "Sasa hivi vyama vingine vinaweza kufanya mchujo wa aina hii? thubutu.**
Hii kauli yake ana uhakika nayo ebu tuangalie
1. Lowasa - Amechaguliwa kwa kura nyingi hapo mwanzo walimtuhumu ni fisadi na anatakiwa kujiondoa hatua ya kumuondoa imeishia wapi kama ni msafi kwa sasa nini kimemsafisha?
2. UVCCM - Dickson Membe, fred Lowasa, Ridhiwani kikwete, Ashura mwinyi,Beny samwel Sita, Debora mwandosa, Iren pinda, Felister Ndugai, Christopher Ndejembi, Sharifa Bilary, hawa Kigoda, Judith Mukama & Jarome Msekwa- je tukijiuliza wote hawa ni waadilifu? au wamepitishwa kwa sababu ni watoto wao
3. Mukama anaweza kutuambia kuna mtoto yeyote wa hao wakubwa hakupitishwa katika huo mchakato wao?
4. Hivi Mukama hajui kama CCM ni BMW?(Baba Mama na Watoto)