Recent content by Meneja Wa Makampuni

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

    Mbona ilikua rahisi tu ni yeye kumfwata Yesu na kumchukua mke wake. Naona mme ndio mwenye shida.
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jihan angekuwa na rangi nyeusi kabisa aangeibuka mshindi wa Miss Grand?

    Kilicho mfanya ashinde sio rangi bali ni ujibuji mzuri wa maswali. Umiss sio sura ni akili. Kama huna akili huwezi kushinda umiss. Hata Angekua mweusi tungempigia kura angeshinda.
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Tunaendelea na application
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

    Solution ni kuacha uzinzi na kuishi maisha ya haki Mungu atakuletea mwanamke mzima.
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania WAPENDA MATRAKO HARMONIZE KIMEMLAMBA HUKO

    Hizo ni Kiki ili Video ifanye vizuri mkuu? Sasa million 10 ndio ya kulia?
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhakikisha utajiri wa familia unaendelea kizazi hadi kizazi

    Ni kweli mkuu sisi ngozi nyeusi kuna tatizo mahali
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wosia alioandika huyu mzee ni wa kibabe sana

    Lazima mtu akimbie na kuacha ndala
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye link ya moviebox app iliyocraked atume

    Kwaajili ya PC au Simu?
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Kwanini hakubadilisha majina tangu wananunua kiwanja.
Back
Top Bottom