Recent content by MeNaco.com

  1. MeNaco.com

    Tetesi: ANAYEKIFAHAMU CHUO CHA MSONGOLA HEALTH TRAINING INSTUTE

    Wana Jf kuna ndugu yangu kapangiwa hicho chuo. so kama kuna mtu anakifahamu naomba anisaidie kipo maeneo huko dar
  2. MeNaco.com

    The presence can't be seen until it's absence

    Hello wana jamvi, Naomba kuuliza jambo ambalo linanisumbua sana moyoni. 1. Hivi kwanini watu huumizwa kwenye mapenzi? 2. Why people leave their true lovers for temporary ones? Je ni kweli watu huwa wanasahau walikoanzia mahusiano? Haya maswali yamenifanya kuandika hiyo heading kwasababu...
  3. MeNaco.com

    Naomba kufahamu kisimbusi kitakachoonesha Euro 2016 mbali na DSTV

    tunazipataje hizo Decorder naitaka sana aisee
  4. MeNaco.com

    Niuzie laptop

    sema umeweka Ada mwisho 400k. ningekupa HP 15 Yenye latest Windows 10 500 GB 4GB RAM but ndo hivyo ushaweka ada yako ungenipa 550k ningekuachia
  5. MeNaco.com

    Samsung note 2 for sale bei ya jioni

    nina 200k nipo Njombe utachukua?
  6. MeNaco.com

    Nauza projector

    bado ipo?
  7. MeNaco.com

    Mwenye programs za video editing anatufutwa

    nicheki on air by 0787 762033 au 0752595729 (haipo active WhatsApp)
  8. MeNaco.com

    Mwenye programs za video editing anatufutwa

    natafuta programs za Video editing. Adobe premier Adobe After effect Pinnacle Studio 19 ultimate Plus. Adobe C5 & c6 kama unayo na nyingine za Video itakuwa vyema. nitafute whatsApp na hii 0787762033
  9. MeNaco.com

    Hatma ya kura za walimu kwa mgombea urais wa tarehe 25 Oktoba, 2015

    huu uzi ulianzishwa sio kujitafakari kama walimu. Naona mnaendeleza cheap Politics zisizo na maana
  10. MeNaco.com

    Msaada wa kutumia Azam

    kama zimefunguka hizo tatu tu maana yake hujalipia kifurushi kingine kama Pure 12000, Plus 20000 au Play 25000/- so ongeza moja ya kifurushi ili uendelee kuenjoy
  11. MeNaco.com

    Lowassa amtaka Zitto UKAWA

    ukawa. kifo. chake lowasa. akiingia ukawa
  12. MeNaco.com

    Lowassa apigwa shinikizo kali

    lowasa nifisadi. ccm chama makin kinapeleka viongoz safi ikulu maali patakatifu
  13. MeNaco.com

    Lissu na Slaa kulamba matapishi yao? Mkakati uliopo ni, Lowassa Mgombea Urais, Slaa Waziri Mkuu

    ukawa. viongoz wanaongoza chama kama. bonde lla maji
  14. MeNaco.com

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    sijajua lengo hasa la huu mkutano. je ulikuwa ni mkutano wa magufuli au ndio wamekuja kumtaja mgombea
  15. MeNaco.com

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    toka mkutano umeanza ni neno moja tu linalosikika katika midomo ya watoa hoja kwenye mkutano wa CDM MWANZA na neno hilo ni MAGUFULI je lengo la mkutano huu ni kumshambulia Magufuli au ndio kuonesha hofu yao ni Magufuli. mpaka wametengeneza slogan ya Magufuli. duh nipo njia panda je CDM ina hofu...
Back
Top Bottom