Tatizo ni ufahmu mdogo ulionao kuhusu Mungu! Anzisha lakwako nawewe uandae watu kama unaona inawezekana. Watu mkiona miujiza hamuamin ni Mungu mnaona ni shetan, so mnaona shetan ndiye anaweza sana. Pole sana maana inaonekana shetan ndio mungu wako.
Huu ni upuuzi mwanamke huna mahusiano naye kwake karibu unamwambia njoo ulale? Achen kupenda kuact maisha ya kizungu! Halafu mnajidai wapenda sifa eti muonekane wanaume sifa zitawauwa. Nawaonea huruma wazaz waliokusomesha! Huyo msichana sijui naye anafikir mwenye vrus utamwona kwa kumwangalia...
Usiache kunpm maana naona ushauri mwingine unaweza kukupelekea kumkosea Mungu. Simtetei ila sio kaz yetu kuhukumu. Kumbuka daud alifanya makosa mengi Mfn. Kumchukua mke wa uria. Lakn Mungu bado aliendelea kuwa naye. So tunapaswa kumwombea na kuchukua hatua sahihi.
Usikasirike wala usimhukumu mtu. Kwani huyo mtumishi ni mwanadamu na anahsia kama wewe so amempenda huyo mchumba wako mpaka akahama rohoni na anashindwa kujizuia so analazmisha. Na hyo haimfanyi asiwe mtumishi wa Mungu. Mfano kumbuka daudi na sauli. Yamkin hlo ni jarbu lake tu. Kwa ushaur zaid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.