Najuta( mawazo yako ni muhimu)

Najuta( mawazo yako ni muhimu)

Huyo Fary yupo kimaslahi zaidi..,mtafute msichana ikiwezekana mpe fungu la maana ajifanye ndio manka halaf awafumanie na farry, kisha ampe kichapo kitakatifu kisha hama kabisa mahali hapo..,ndipo atakapojua kuwa humpendi. Bila hivyo utachapwa hadi vboko jinsi inavyoelekea...!pole sana.
 
Huu ni upuuzi mwanamke huna mahusiano naye kwake karibu unamwambia njoo ulale? Achen kupenda kuact maisha ya kizungu! Halafu mnajidai wapenda sifa eti muonekane wanaume sifa zitawauwa. Nawaonea huruma wazaz waliokusomesha! Huyo msichana sijui naye anafikir mwenye vrus utamwona kwa kumwangalia kwa macho? Acheni ujinga mtakufa mwache hvyo vidigirii mlivyo visit! Mbaya zaid wazaz wanawategemeaz!
 
Mhh Manka humpati ng'oooooooo
nimeshamwambia fary,amelia sana na amesema anafanya vyovyote vile mimi ndiyo nitakua mume wake na amesema i will pay 4 it so amenitisha sana cjui anataka kufanya nn na nitapay kitu gan so bado nawaza sana
 
Fanya ambavyo mwanamme anapaswa kufanya/kuamua. Unless you are not
asante nilishafanya maamuzi magumu,nimempiga chini fary,alilia sana cku nzima na amesema atafanya chocho kile mm nitakuwa mume wake na pia i wii pay for it
 
kitakachotokea chochote urudi tena hapa kutuhabarisha.sawa?mana hii ni fundisho na kwa wengine mbona mambo haya huwatokea wengi tu?nashangaa watu wanaobeza keshaomba msamaha hapa ni ushauri tu,kama huna la kuchangia ni afadhali upite njia tu!
nimempiga chini fary
 
kichumvi vp ulifanikiwa kumtimua fairy mana tunasubilia au ukiwa home huwezi hata shika computer?
nilifanikiwa kumtimua lakini amelia sana siku nzima na ametoa maneno makal sana amesema atafanya vyovyote vile mimi ndyo nitakuwa mume wake na hatochoka kunupigania na pia amesema nitapay for it so ameniacha njia panda sijui anataka kufanya nini
 

urafiki tu ndio upigwe na vibao
akiwa mke si utajuta,kua na maamuzi ya kiume
mtimue huyo,anajua kapata boya wa kumpunguzia makali
ya maisha,utajutaga shaurilo,fukuzia mbali kwani chumba c chako bana?!!
asante tayar nimeshamtimia lakin amenitisha amesema atafanya lolote lile mm lazima nitakuwa wake na i wii pay 4 it,nilitumia nguvu sana alilia siku nzima ilikuwa ugomvi sana
 
OK kama unataka ushauri mkuu fanya ifuatavyo anza na bajeti , chukua gunia la maharage na mahindi then gunia la mkaa na viazi vitamu mpe mwambie sasa hivi hali ya kipato ngumu , aidha ninasomesha ndugu. tufunge mkanda atapiga hivyo viazi no kubadilisha mlo , mwisho atanuna then ataona maisha magumu atasepa tu basi hapo utapumua , mimi ni li apply hii kitu na ikafanya kazi utaniambia mkuu, vile vile kama upo dar maji ya kuoga si ya kununua sehemu usimgegedue kwa kuwa hamjaoga basi ndugu huyo lazima atanyooka tu.
nilishamtimua
 
ndugu KICHUMVI, mimi sioi tatizo wala kitu cha kukusababisha uwaze kiasi hicho, katika mahusiano hasa kwa mtu ambaye bado hajaoa ni mambo ya kawaida sana kutokea, maana wakati huo huwa na wakati mgumu sana kuushinda moyo na kuamua kwa majaribu kama hayo. Hali hiii pia hutokea hata kwa mtu aliyeoa, mara kadhaa wanandoa pia huingiwa na majaribu kama haya, hasa pale wenzi wao wanapokuwa mbali nao.cha msingi chukua uamuzi wa busara, ambao ni kufuata moyo unapopenda na siyo kulazimishwa na mazingira, kumbuka hakuna kitu kibaya katika maisha kama kuoa mtu kwa kigezo cha mazingira kama mali, pesa, madaraka ama kumuonea huruma kwa kujifanya kumsaidia, ndoa khaijengwi kwa huruma bali kwa upendo unaotoka rohoni. Uzoefu unaonyesha kwamba, watu walioooana kwa kigezo cha mazingira kama nilivyoeleza hapo juuu ndoa zao hazidumu, na kama zikienda wa muda fulani basi ni kero sana upande mmoja wa ndoa. KUMBUKA, MARRIAGE IS TOO WAY TRAFICK, YOU GIVE LOVE AND YOU RECEIVE IN THE SAME WAY (at least in some amount). chukua hatua za kuwa mkali na kuachana na huyo wa pili haraka sana ili uende moyo unakopenda.

Heshima mbele
asante sana,nimeshafanya maamuzi nimemwacha fary
 
Huu ni upuuzi mwanamke huna mahusiano naye kwake karibu unamwambia njoo ulale? Achen kupenda kuact maisha ya kizungu! Halafu mnajidai wapenda sifa eti muonekane wanaume sifa zitawauwa. Nawaonea huruma wazaz waliokusomesha! Huyo msichana sijui naye anafikir mwenye vrus utamwona kwa kumwangalia kwa macho? Acheni ujinga mtakufa mwache hvyo vidigirii mlivyo visit! Mbaya zaid wazaz wanawategemeaz!
asante sana
 
nimeshamwambia fary,amelia sana na amesema anafanya vyovyote vile mimi ndiyo nitakua mume wake na amesema i will pay 4 it so amenitisha sana cjui anataka kufanya nn na nitapay kitu gan so bado nawaza sana

hayo ni maneno ya mkosaji na yasikutishe, fanya moyo wako vile unapenda usikubali kubuluzwa kama guta
 
Halafu acha kuzoeana na wasichana wakat huwez kuzuia tamaa zako. Otherwise huo uzinzi utakugharimu cku moja.
 
asante tayar nimeshamtimia lakin amenitisha amesema atafanya lolote lile mm lazima nitakuwa wake na i wii pay 4 it,nilitumia nguvu sana alilia siku nzima ilikuwa ugomvi sana
umefanya vema
ila uhame hapo maana akija manka
usalama wake utakua mdogo!!
 
kweli wewe ni KICHUMVI ,na ulivyoyavamia mapenzi utalambwa sana.

wanawake huwajui wewe, kalaghabao.

binafsi namshauri @KACHUMVI arudi kwao akaendelee kuish na wazazi wake ameshindwa kuish maisha ya UKAPERA,BADO ANAHITAJ UANGALIZI TENA ZAID YA MGONJWA WA ICU,,,,AMEUPATA UHURU WA GHAFLA,,,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom