Wachezaji wa CCM vs Chadema Arumeru, soma role zao, utaipenda sana

Ni wazi! Hata hivyo sikuamini chama kama ccm kinaweza kuwa na timu ya wapumbavu kiasi hicho! kama huyu Nyara ya taifa-Wasira tumsamehe bureee!!!
 
Kazi ya Kaptein Komba ni kuimba na kuchezesha ule mtumbo wake mnene dah! Magamba oyeee!
 
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni na Kuwadanganya wananchi
...
2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi) na Ushirikina

4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya nini..? kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali

9.Ben Mkapa..Huyu mmmh.Mungu amsamehe kwani hajui atendalo

10.Mary Nagu=sijui kazi yake ilikuwa nini..,maank wananchi hawakumuelewa kitu alichokuwa anaongea jukwaani sijui ecology,mara economics sijuy zonal..mmmh

Sasa tucheki kikosi kazi cha Chadema..,ambao walikuwa wachache tu

1.Vincent Nyerere..,Huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

2.Mchungaji Msigwa..Huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na Fitna, na Ushirikina (Uchawi)

3.Joseph Mbilinyi ''SUGU''-Kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura CDM.,NA kujua hali halisi za Masela {vijana wa mtaani}

4.Mchungaji Natse-Huyu Pia kazi yake ilkuwa kupambana na Mapepo na Uchawi ukizingatia Nguvu nyingi ya Uchawi ilitumika..,Na pia kumwaga sera kwa wananchi

5.Dk.Slaa,Zitto na Mbowe- Hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua
6.Halima mdee-kazi yake ilikuwa kuhamasisha wanawake kupiga kura na kinadada

7.Godbless lema-kazi yake ilikuwa kuhamasisha vijana kulinda kura zao kwa ujasiri
woyoooooo
 
Naomba tuendelee kupiga kambi tusibweteke na ushindi huu! Ccm wamisha ingia kambini kwa hio tuwe macho! Siku si nyingi tutakuwa na uchaguzi mwingine wa mbuge, na kabla ya 2015 tutakuwa na chaguzi zingine kama nane! Note maneno yangu maana hawa magamba yatamalizana kwa visasi

Umeona vyema, maana hata neno La Mungu linasema, kila mchawi atainua upanga juu ya mchawi mwenzie, hayo hayako mbali. Watamalzana wenyewe.
 
Mkuu umewasahau hawa
1.Lowassa-huyu kazi yake ilikuwa kuleta pesa za kuonga wapiga kura na kuwarubuni washili na maaskofu na wachungaji tokota mbaya inasemekana halii ya afya yake ni tete
2.Pamela lowassa-Huyu ni mtoto wa lowasa na mke wa sioi kazi yake ilikuwa kuwaada wameru kuwa yeye ni mwenzao na sioi ni chaguo sahii.
3.John Tendwa-huyu ni msajili wa vyama vya siasa na ni kada wa CCM kazi yake ilikuwa ni propoganda ya kutumia washili kuwadhofisha CDM
4.Nape-huyu ni katibu wa itikadi na uenezi kazi yake ilikuwa ni kupiga propoganda za ushindi kabla ya uchaguzi huku akiomba mgombea wao ashindwe
5.Beno malisa-huyu ni makamu mwenyekiti wa UVCCM Kazi yake ilikuwa kuzunguka na vidosho wa Ar,na kula bata Tripe A a,aliongoza zoezi la utekaji nyara makada wa CDM Amekumbua shuka asubuhi.
6.Martin shigella-katibu wa UVCCM huyu kazi yake ilikuwa ni kutoa kauli za vitisho na kuwahidi watu kuwa wakishinda watachinja ng'ombe
7.Sophia Simba-mwenyekiti wa UWt huyu kazi yake ilikuwa kuwarubuni kinamama wa kimeru kwa vitambaa na ahadi za uongo.
8.Medeye-huyu ni kada kazi yake ilikuwa ni kugawa brown envelope na aliishia kupata kichapo.
Nawasilisha!
 
Naomba tuendelee kupiga kambi tusibweteke na ushindi huu! Ccm wamisha ingia kambini kwa hio tuwe macho! Siku si nyingi tutakuwa na uchaguzi mwingine wa mbuge, na kabla ya 2015 tutakuwa na chaguzi zingine kama nane! Note maneno yangu maana hawa magamba yatamalizana kwa visasi

Kwani kuna ubaya basi itakuwa ni nehema tu kwa upinzani
 
Clouds fm role yao ilikuwa kusambaza propaganda na kuipigia kampeni ccm hasa kirumba mwanza na arumeru na kueneza maneno ya umbea dhidi ya nassari! Gerald hando,pj ovyo kabisa.
 
Nadhani magamba wajifunza kuwa kampeni za kinafiki, uchwara, matusi na hongo siyo 7bu ya kushinda
 
na yule mzee wa hapo vipi,?.......hapo vipi?....................hapo vipi?...................dah ccm kaaazi true true
 
Back
Top Bottom