Recent content by Mello

  1. Mello

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I have been waiting for 5 Good years to marry my baby mama only to find out she is getting married to another man!

    Wewe Ukiwa Mjanja Inatosha. Siyo Lazima wote tuwe Wajanja.
  2. Mello

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I have been waiting for 5 Good years to marry my baby mama only to find out she is getting married to another man!

    Imagine, I have been waiting for 5 Good Years to get married to my Baby Mama, Only to find Out she is getting married to another Man. I don’t complain but regretting to waste all those Years waiting for Her. It is time to Move On with my Life.
  3. Mello

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkaka mtanashati tusogeze siku

    Yaani Unahitaji Kampani tu halafu unaweka Vigezo Viiingi. Kazi inaingiaje hapo?
  4. Mello

    JamiiForums Tanzania Am looking for Sales and Marketing JOB

    I am a Marketer by profession with more than 10 Years Working Experience. 5 years as a Sales Junior Manager and 6 Years a A Senior sales and Marketing manager. I have experienced in Telecom, Gas and Beverages Industry (FMCG). If you are in need of my Services and you think I can add value in...
  5. Mello

    JamiiForums Tanzania Course za Kada ya Afya

    Kijana wangu wa Kike Ana D- 5, C- 2 na F ya Math na Physics. Naomba Kujua Ni Kozi gani Anaweza Kusoma Maana Ana D ya chemistry na Biology. Na Ni Chuo gani Hapa Dar anaweza Kusoma kwa Ada Nafuu.
  6. Mello

    JamiiForums Tanzania Duh! Wasukuma washamba sana jamani, sijawahi ona!

    Kwani Wewe hayo Majina yanakuuma nini? Kwamba wewe Dar es salaam ni Kwenu
  7. Mello

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Wasafi Festival inakuja kuua Fiesta

    Never on Earth. Sahau Kabisa Acha Kujitekenya na Kucheka mwenyewe
  8. Mello

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group ( CMG ) msihofu tumeshawaelewa endeleeni tu Kuukumbatia Mzinga wa Nyuki kwa raha zenu

    Wabongo bana, Nyie ni watu wa Ajabu sana, Kwahiyo Mnataka watu waendelee Kuwa Maadaui? Nyie mnanufaika Nini. Hivi Mnafahamu Mamlaka za Mkoa Nyie? Ebu Toeni Umbumbumbu wenu hapa. Makonda ndiye mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa. Hivi Unawezaje Kufanya Tamasha kubwa vile bila Mkuu wa Mkoa...
  9. Mello

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Ndoto Yako

    It’s True that, Wanaume/wanawake wengi waliyopo kwenye Ndoa au Mahusiano, wapo Kwasababu tu wamekutana na wenza wao kwa sababu fulani, hiyo sababu ndo ilipelekea wawe hivyo walivyo Sasahivi. Lakini waliyo wengi wanaishi ilimradi siku zisogee. Wengi hawana Furaha kabisa, Ukweli ni kwamba...
  10. Mello

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: “Nimekataza watumishi kuwekwa mahabusu... huo ni upuuzi”

    I know the Guy since tukiwa O level, ni mtu mwenye hofu ya Mungu na zaidi si mtu wa Mihemuko anasimamia kile anachokiamini na ndo Maana ukienda Simiyu utagundua ni mtu mwenye kufanya Mambo yanayoonekana. Sioni akitumbuliwa na atafika Mbali
  11. Mello

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania led by a Kenyan

    Mimi nilikua naona Watanzania Tuache Kulia lia, Kama kuna Watanzania wana sifa hizo Basi waombe waingie kwenye Interview Tupambane na hao tuone na si kusubiri Vyeo vya kupeana na Kuteuliwa.
  12. Mello

    JamiiForums Tanzania Suala la Managing Director wa Vodacom linafichwa ukweli wake

    Hivi Mnajua ninashangaa haaya Mapovu. Naomba Mtuambie Ni Mtanzania Gani kwa Sasa Anaweza Kushika hiyo Nafasi, tena Mwenye Experience Kwenye Telecom. Tusiongee tu kwakua mnataka kuona Mtanzania Pale. Nina Mifano halisi ambayo unaweza kuona. Wewe Utaongezea yako. 1. Ephraim Mafuru amewahi Kushika...
Back
Top Bottom