Recent content by Melky Msechu

  1. M

    Nini msimamo wa CHADEMA kuhusu Azimio la Arusha?

    azimio la arusha sio makitu ya ccm wewe.,soma historia..usikurupuke kiushabiki...unafkirì huku jf cdm n wewe tu??! Chadema tuko wengi ila cdm co kuropoka ni kuongea point,,uctuharibie chama,.kama umechoka hama.,
  2. M

    Chama kipi cha siasa kinachofaa kwa sasa?

    chadema is the best,,2015 ni kivumbi na jasho... ... Bwana lowassa ana hali ngumu sana
  3. M

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    mimi nampongeza mh.Mkapa kwa kazi aliyofanya kipindi chake..wala huwez kufananisha uongozi wa mkapa na kikwete. Kipindi cha mkapa,mchele kg 1 ilikuwa 500shs. Sasa hivi ni 2700,,sukari kilo ilikuwa 1000,sasa hvi robo 900..mkapa alijitahidi sana ijapokuwa alikabidhiwa nch ikiwa na madeni...
  4. M

    CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

    hao jamaa ulio wataja ni sindano nne za moto na lema tano zitakazoimaliza ccm 2015,,PEOPLE'S .....,....!!
  5. M

    Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

    nicas,haya mambo bhana yashaharibika,,sasa hvi sio kuziba ufa,ni kujenga ukuta,
  6. M

    Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

    hata mimi imenibidi nitafúte wa imaní yangu,,kwanza wakwetu ni weng na n wazuri kuzidi pia
  7. M

    Hussein Bashe: Ninaamini Mitazamo na Fikra za Lowassa!

    Ni mtazamo tu,Ni maoni yake na hayatekelezwi...
  8. M

    sasa nataka kuoa!!!!

    mmh,,haya< tunakuombea ufanikiwe,ikiwa akaliko mke wako jf utampata..
  9. M

    CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?

    hata wasemeje 2015 lazima kieleweke,,mtu mmoja hawezi kuuvuruga umma,CHADEMA ni nguvu ya umma, KIRUSI KIKUBWA ni CCM.
  10. M

    Mwandishi wa habari wa BBC akamatwa na polisi Loliondo

    Tukakosa MISAADA kutoka ulaya,,naømba huyo mwandsh wamwache
  11. M

    Mwandishi wa habari wa BBC akamatwa na polisi Loliondo

    hii ndo tanzania,nchi yenye..
  12. M

    Mizengo Pinda: Mawaziri wazembe kufukuzwa kazi

    afadhali ya lowasa kuliko huyu mamba,,pinda zamani
  13. M

    Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

    duuh,,ki2 c k2,,hali c hali,,mi yashanikuta juziiii,,mdada m1 amenikataa sababu ya ukristo wangu,,suluhisho ni maelewano 2,,ila ya wahenga "mapenzi hayachagui dini wala kabila" Georgina ,jambo 1,myt na zion,..
Back
Top Bottom