Chama kipi cha siasa kinachofaa kwa sasa?

Chama kipi cha siasa kinachofaa kwa sasa?

Unamaanisha nini kitatokea? Kama ndo hivo, mafisadi wote watakimbia nchi (Namaanisha taka zote zitaondolewa)
Kwahiyo wewe ukiwa prezo kila kitu kipya?
 
Inaonekana unatumiwa tuu lakini unajua kabisa kwamba chama dume sasa hivyo na inayotufaa kuiongoza nchi ni Chadema pekee. CCM wanatafuta tuu chama cha kujiunga nacho ili ingalao iambulie wabunge wachache 2015 na hizo nja za kuwahadaa watanzania kwa video feki.
 
HATA IWEJE kwa wanayotutenda ccm,cwez kuisaport,maisha yangu yamebadilika sasa kwa utetez wa CHADEMA.siwatak ccm wasalt wa wananch pumbavu
 
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri,inaonekana hujui historia ya nchi ya tanzania,mwalimu nyerere alishawahi kusema kuwa kama chake ki takiuka maadili yupo tayari kuhamia chadema,na hakuna picha ambayo alisha wahi kuvaa mavazi ya ccm,nakuomba huo ushauri wako uwe changamoto kwako,,hv unajua kuwa asp na tanu ndo ni chadema ambayo mwalimu aliona vision yake,,nakupa mfano mdogo,umeona ujinga unaofanyika loliondo ambako wananchi wanapokonywa ardhi ili apate muwekezaji,,wananchi wameludisha kadi za chawa unachokisifia gunia mbili,,"'please dont think tanzania are crazy than you think"'as wasakatonge we suffer and CHADEMA is our father
HATA IWEJE kwa wanayotutenda ccm,cwez kuisaport,maisha yangu yamebadilika sasa kwa utetez wa CHADEMA.siwatak ccm wasalt wa wananch pumbavu
 

Attachments

  • Chadema.JPG
    Chadema.JPG
    8.8 KB · Views: 78
Aliance for democratic change ndio chama pekee
 
Samahani mkuu sijakuelewa. Hivi hoja hapo ni kuhusu gamba au ndio ulivyofundishwa kutukana tu bila kutoa point.
Samahani mkuu ningependa tujadili hoja na utoe point sio kuongea vitu ambavyo havijulikani. Nimesema hayo ni mawazo yangu Je wewe mawazo yako ni kutukana watu!!?

We vipi...? Si umeuliza swali ukajibiwa swali....!! Mbona unatokwa na povu kaa unadegedege..
 
Nawasalimu wana JF nilikuwa nimebanwa na kazi kwa mda mrerfu.
Leo nimepata nafasi hii naomba niwasilishe mawazo yangu kwenu tuweze kuyajadili.

Hapa ni kuhusu je chama kipi kinacho faa sasa kuongoza nchi yetu?
Kwanza nianze kwa kuongelea vyama vikubwa hapa nchini yaani CUF,NCCR-Mageuzi, UDP,CHADEMA na CCM.

Mimi sijui sana sera ndani ya vyama vyote ila nina ona matendo ya vyama hivyo:

CUF- imejaribu sana kuwashawishi watu na imejikuta ikiwagawa watanzania katika matabaka matabaka (Yaani Uzanzibar na Utanganyika; Ukristo na uislam)

NCCR-Mageuzi- Hiki chama kilijipatia sifa kubwa sana na kuwa na wanachama wengi lakini kilionekana kuwa hakikuwa na vision kilikuwa ni chama cha msimu. Kwa sasa kimepoteza ubora ndani ya watanzania na sera yake kwa sasa imejificha haijulikani.

UDP- Sera yake imekuwa ni kuwajaza watu mapesa. Hii sera haikueleweka kwa watu maana yake. Hakikuweza kabisa kupenya maana kiongozi wake hakuwa na msimamo mara anagombea urais mara ubunge matokeo yake kikakosa mwelekeo.

CHADEMA- Kimejipatia umaarufu kwa watanzania wengi baada ya kuanza kusema matatizo yaliyopo tanzania lakini kimejikuta kikiingiliwa na yule mdudu wa CUF (Yaani Utanganyika na Uzanzibar; Ukristo na Uislam). Kimefanikiwa sana kupenaya kwa vijana. lakini kimekuwa hakina vision maana viongozi wamekuwa wakirumbana mara kwa mara. Kimegubikwa na kasoro nyingi sana. Pamoja na kufukuza fukuza wanachama kwa kuwahisi kuwa ni wasaliti.

CCM- Hiki chama kiliundwa kwa muunganiko wa vyama viwili yaa ASP na TANU vyama vilivyo ipa uhuru Tanganyika na Zanzibar. Kimejipatia umaalufu sana ndani na nje ya tanzania lakini kwenye miaka ya 2000 -2010 kimegubikwa na kasoro nyingi za kifisadi. Lakini miaka ya 2011 mpaka sasa kimekuwa kikibadilika siku baada ya siku kurudi katiaka hali yake ya kwanza.

Kimekuwa mzazi wa vyama vyote maana sera zake zimekuwa mama. Ni chama kilicho komaa kisiasa. Kimetoa viongozi wazuri sana.


Mawazo yangu:
Nahisi vyama vingine vyote bado ni vichanga sera zake nyingi ni za kugawa watanzania. Ninawaomba watanzania tubaki na CCM kwa mda wa miaka 20 mpaka vyama vingine vitakapo jitambua vinatakiwa kufanya nini. Sio kuendekeza ubinafsi na umimi.

Ahsanteni
Naona upo kwenye evaluation ya kazi za lumumba wood, kuangalia filamu za nchemba zimefanikiwa kwa kiwango gani kubadili mitazamo ya watu.
 
Mtu ataona chama kinamfaa kutokana na matarajio yake kutoka kwenye hiko chama. Kama wewe ni mpenda maendeleo utaona chama kinachofaa ni CCM ila kama wewe ni mpenda maandamano, fujo, ugaidi na utekaji watu nyara utaona CHADEMA kinafaa.
ulichoshau hapo ni kuongeza polisi wake kuua mwangosi
 
Rafiki yangu mwanajf ungekuwa karibu nami aidha ningekutwanga viboko au ningemwadhibu mwl wako. Content na title tofauti kabisa. Title ni swali na content ni jibu. Sijui kwa mtindo huu kwa nini usipate zero?hapana jifunzeni kuandika,kisheria ukiwa na evidence inayojipinga basi iyo evidence sio evidence kabisa na utupiliwa mbali!
 
Back
Top Bottom