Recent content by melkiz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

    Asante sana mkuuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

    Asante mkuu inatumia Lita 1 kwa kilomita ngapi highway na mjini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

    Wanajamvi nataka vuta ndinga lakini ninapenda kuwa na gari inayonisaidia mishe yangu ya hapa na pale namaanisha ninayoweza imudu ningependa kujua mambo yafuatayo 1)utumiaji wa mafuta ukoje yaani Lita 1 ni km ngap high way na kwene jam? 2)upatikanaji wa spear zake ukoje? 3)nikifunga safari za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bongo wanafunga screen kwenye seat za magari?

    Nenda kwa dicksound atakuwekea poa yupo vizuri inakua kama original
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huyu ni nani? Alikuwa anavaa sare za chama lakini sasa yupo na Rais

    Wewe kweli jingalao na hujui maana ya usalama wa TAIFA unafikili ni kama kuuza karanga kwa mtu anaeelewa wala hawezi sumbuka na mtu kuvaa sare nenda kalale
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huyu ni nani? Alikuwa anavaa sare za chama lakini sasa yupo na Rais

    Hao kwani si wanajulikana ni wanausalama wa taifa mbona swali lako rahic ungeweza hata kuwauliza darasa la saba huko kwenu wakakujibnau ndio ile kukosa cha kupost
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe akutana na Ney wa Mitego na kuongea na waandishi

    Unakimbia hoja bado hoja yako imejikita kwene fikra zako sio ambayo watz tunauhakika Nayo harafu usimwambie nenda shule usiyemjua unaweza jikuta wewe ndio watakiwa kwenda shule hoja yako ni dhaifu unasemaje PhD haijamsaidia wakati unaona ni mtumishi wa uma na yupo nafasi ambayo unaitaka hata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe akutana na Ney wa Mitego na kuongea na waandishi

    Povu tayari kwa hoja yako dhaifu unaweza Ukawa bashite
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe akutana na Ney wa Mitego na kuongea na waandishi

    Kwan kwa akili ndogo unafikili elimu haijamsaidia mbona unakua bwabwa wewe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Serikali yetu ipo Dodoma DSM walikwishahama
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ndalichako ashusha walimu 7460 kutoka shule za sekondari kuhamishiwa s/msingi

    Sasa simuwaajiri watu wakafundishe shule za msingi na bachelor zao? Au mnasubili nn na madeni yenu hawatalipa mkicheza hivi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe akutana na Ney wa Mitego na kuongea na waandishi

    Akili ndogo ni akili ndogo eti PHD isiyomsaidia uwazili wewe utaupata? Au baba yako? Au familia yako? Muwe mnatafakari kabla ya kuandika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nifanye ngono na huyu mmama je mnanishauri vipi?

    Duh yupo grocery gan hapa ushirombo na je? Bar/club gan inauza kwasasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume naombeni jibu!

    Huyo tayari ashatolewa malinda ukioa jiandae aibu siku ya kujifungua atajinyeaaa manesi watakusuta
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Asilimia 90 ni uhakika alionao kakoko uwezekank wa makontena kuwa na madini sio mchanga 0.02
Back
Top Bottom