Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,285
Akili ndogo ni akili ndogo eti PHD isiyomsaidia uwazili wewe utaupata? Au baba yako? Au familia yako? Muwe mnatafakari kabla ya kuandikaMzee mwenye PHD isiyomsaidia
Uwaziri..Akili ndogo ni akili ndogo eti PHD isiyomsaidia uwazili wewe utaupata? Au baba yako? Au familia yako? Muwe mnatafakari kabla ya kuandika
Kwan kwa akili ndogo unafikili elimu haijamsaidia mbona unakua bwabwa weweUwaziri..
Unataka kusema hiyo PhD ndio imempatia uwaziri?
Punguani wahedi!
Samahani wewe ndie bashite?Akili ndogo ni akili ndogo eti PHD isiyomsaidia uwazili wewe utaupata? Au baba yako? Au familia yako? Muwe mnatafakari kabla ya kuandika
Wanafiki na mafataani pia WAPO!
Hongera Rais, hongera Mwakyembe, hongera Ney.
Unafikiri..Kwan kwa akili ndogo unafikili elimu haijamsaidia mbona unakua bwabwa wewe