Wanajamvi nataka vuta ndinga lakini ninapenda kuwa na gari inayonisaidia mishe yangu ya hapa na pale namaanisha ninayoweza imudu ningependa kujua mambo yafuatayo
1)utumiaji wa mafuta ukoje yaani Lita 1 ni km ngap high way na kwene jam?
2)upatikanaji wa spear zake ukoje?
3)nikifunga safari za dar-kahama/mwanza Mara 3 kwa mwezi itamudu kwenda na kurudi?
Naleta maada anaeelewa anisaidie.