naomba lift jamanimimi nimefunga samsung tab 12" kwenye head rest,natumia android radio ya gari.nashare screen kwenye tab nacheki music safi.
niliweka mwenyew mkuu,na tablet moja nilikua nayo nyingine nikanunua kama 700 iv,pia radio niliagiza ebay kwa 800tsh,radio ni android kama simu tu make app unapakua humo humoUliweka mwenyewe au kwa fundi na pia vipi mchanganuo wake wa gharama kwa ujumla?
Wanafunga. Hizo zinakuja na headrest wao wanakupachikia na kufanya wiring.Najua gari nyingi zinakuja zikiwa ndivyo zilivyo, ila je wataalam wetu mambo ya sound na urembo wa magari wanaiweza kitu hii au ni mambo ya majuu?Nawasilisha.
Litaanza KiburiItabidi landrover langu nifunge hivi vitu..
niliweka mwenyew mkuu,na tablet moja nilikua nayo nyingine nikanunua kama 700 iv,pia radio niliagiza ebay kwa 800tsh,radio ni android kama simu tu make app unapakua humo humo
mimi mkuu nimepiga tinted za giza kabisa,unajua gari inapokua na tinted kidogo inasaidia kutotia kishawishi cha kuibiwa,pole sana mkuuVipi changamoto ya parking za mjni zilivyo hatarishi??
Unakabiliana vipi na hio kero ukijaza urembo kwenye gari??? MLIMANICITY