Recent content by Meking

  1. Meking

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri

    Yaani mwanasheria msomi anataka spika ndiyo amuandikie mtoro kuhusu utoro wa mtoro mwenyewe? Kwamba mtoro mwenyewe hata hajielewi siyo? Hivi mnauchukuliaje ubunge nyie watu? Yaani wananchi wanakosa uwakilishi kwa kujisikia na sababu za kizembe tu...
  2. Meking

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?

    Wawe nani sasa? Hope haitapendekezwa wawe watumishi wa umma...
  3. Meking

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Matiko kuzungumza na Watanzania kupitia Wanahabari Golden Tulip Hotel 15 march 2019

    Ndiyo za mwisho mwisho hizo! Nikukumbushe mwezi huu tu tumeshakula vichwa viwili tayari...
  4. Meking

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Matiko kuzungumza na Watanzania kupitia Wanahabari Golden Tulip Hotel 15 march 2019

    Maswali ya hivi yalikuwa maarufu sana awamu iliyopita. Upgrade urself...
  5. Meking

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Matiko kuzungumza na Watanzania kupitia Wanahabari Golden Tulip Hotel 15 march 2019

    CCM ndiyo Tanzania, angalau unalijua hilo...
  6. Meking

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Huwa mnasema serikali haifuati katiba na kuwa raisi ni dikteta, angalau tupate mifano hai miwili mitatu kuwa katiba ya JMT inafuatwa na inafuatwa kwa vitendo...
  7. Meking

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Halafu hiyo barua (Kama hakuna ulaghai) ni taarifa ya kikao cha tatu! Alikuwa wapi na kwa nini hakutafuta kibali cha spika kwa kikao cha kwanza na cha pili? Halafu barua ameiandika tarehe 29 Januari siku ambayo kikao kinaanza, kwa nini hakuandika kabla? Why taking this much of unnecessary risk...
  8. Meking

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Juzi alisema alikuwa anatafuta wafadhili nje, leo tena alikuwa anamuuguza mjamzito. Akikosa mishahara miwili mitatu ataweza sema alikuwa amekufa huyu...
  9. Meking

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Haya tumeni sasa, interview next week na cheti cha form four kipo mbali kidogo. Kuna mtu kakushauri uuze tiGO, niongeze neno, halafu unuse! Mwendawazimu weee
  10. Meking

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Unaweza lifanyia kazi hili? Maana naona hata PM umeleta maneno tu halafu ukakimbia
  11. Meking

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    I was about to send some money! Nimeshituka in the process kuona jina tofauti. Hembu weka na cheti cha form four hapa
  12. Meking

    JamiiForums Tanzania Kumpa kura yangu Lowassa ni moja ya majuto makubwa sana katika maisha yangu

    Ulimpa na hakushinda, ya nini kujuta?
  13. Meking

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Zile mbwembwe za TRA kutangaza mapato zimeishia wapi?

    Daah nilishaisahau ile ndoto! Hivi huu ndo ule mwaka mkuu hatoboi siyo?
  14. Meking

    JamiiForums Tanzania Mikoa Tanzania inahitaji kuwa state huru

    Mfano mzuri ungeitoa Tanga...
  15. Meking

    JamiiForums Tanzania Nini kimemfanya Mzee Lowassa Siku tatu nne hizi amekuwa na Nuru, Amani na Furaha tofauti na Miaka mitatu iliyopita?

    Acha kupauka, gubu linaua kabisa! Bora tu kaokoa nafsi yake. Wale ni mashetani...
Back
Top Bottom