Nini kimemfanya Mzee Lowassa Siku tatu nne hizi amekuwa na Nuru, Amani na Furaha tofauti na Miaka mitatu iliyopita?

Uhakika wa mkwe wake kutoka selo, kwa hiyo mwanae atapata huduma ya unyumba.

Uhakika wa mali zake kutobughudhiwa.

Na ninadhani mkulu kampa kazi ya kumshauri kuhusu jinsi ya kutupiga bila kuacha ushahidi, ule utatu wa Magu, Rostam na Lowassa ni habari nyingine.
 
Sasa hivi Mzee wa Watu ana bashasha zote, anachangamka huku akiwa na ' Confidence ' ya hali ya juu kwanini?

Nawasilisha.
Usifanye masihara kufutiwa Kodi ulikuwa unaandamwa nazo, usifanye masihara mkweo Yuko njian kutoka jela, usifanye masihara Yale mashamba uliyohodhi unahakikishiwa umiliki wako na vizazi vyako, usifanye masihara unahakikishiwa maslahi yako mpaka kufa.

THE OPPOSITE
Usifanye masihara kukimbizana na polisi Kila siku
Usifanye masihara wanaChadema wanataka ufanye mkutano wa hadhara polisi wanakuvizia wakutie Segerea
Usifanye masihara TRA wanapekua mafaili yako tokea tulivyopata Uhuru kuchek ulikosea wapi Kodi ili wakufilisi.
Usifanye masihara wanachama wanataka ukae mstari was mbele kuongoza maandamano
 
Hahaha ni sawa na mtoto aliyetoka shule sasa anacheza, hawezi kucheza akiwa amenuna, lazima awe na furaha.
Halafu siunakumbuka ccm walisema alikuwa mgonjwa ujiharishia, sasa katibiwa huko chadema karudi mzima, hajiharishii tena hivyo lazima awe na furaha.
Sasa hivi Mzee wa Watu ana bashasha zote, anachangamka huku akiwa na ' Confidence ' ya hali ya juu kwanini?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifanye masihara kufutiwa Kodi ulikuwa unaandamwa nazo, usifanye masihara mkweo Yuko njian kutoka jela, usifanye masihara Yale mashamba uliyohodhi unahakikishiwa umiliki wako na vizazi vyako, usifanye masihara unahakikishiwa maslahi yako mpaka kufa.

THE OPPOSITE
Usifanye masihara kukimbizana na polisi Kila siku
Usifanye masihara wanaChadema wanataka ufanye mkutano wa hadhara polisi wanakuvizia wakutie Segerea
Usifanye masihara TRA wanapekua mafaili yako tokea tulivyopata Uhuru kuchek ulikosea wapi Kodi ili wakufilisi.
Usifanye masihara wanachama wanataka ukae mstari was mbele kuongoza maandamano
Fact
 
Back
Top Bottom