Recent content by Mejamajizo

  1. Mejamajizo

    Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Jaman mbona barua za kibali cha uhamisho hazifiki hapa Tabora uyui,kila ukienda unaambiwa bado.
  2. Mejamajizo

    Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Mh! Hapo ni shida mi nipo kazini napiga mzigo kama kawaida maana barua mkurugenz hajasain bado.
  3. Mejamajizo

    Sioni jina TAMISEMI wakati vibali vyote nilikamilisha

    Barua from tamisemi ni lini huku Tabora
  4. Mejamajizo

    Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Tupeane taarifa jaman maana hapa Tabora bado barua hazijafika
  5. Mejamajizo

    Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Jamani hizi barua toka Tamisemi znafika lini hapa Tabora na uyui maana kunachosha kweli mwenye taarifa anijuze tafadhar maaana mmmh.
  6. Mejamajizo

    Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

    Kwangu tabora wilaya ya uyui bado na tangazo linasema ni kuanzia tar.22 january zitakuwapo kwa wakurugenz wote,japo rafiki yangu yupo mtwara ameniambia yy kesha pata na jana alikuwa kufunga datasheet.
  7. Mejamajizo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Iringa nije mpanda elimu msingi call 0759739229 now.
  8. Mejamajizo

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Hapa tunasubir majina ya uhamisho tu sio masuala ya kidato cha pili. Jaman mwenye taarifa juu ya lini majina ya uhamisho atujuze tafadhar.
  9. Mejamajizo

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Kwahiyo leo hakika watatoa
  10. Mejamajizo

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Umetoka lini huo uhamisho wa ndani @ emboaba
  11. Mejamajizo

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Mi naamini leo majina yatatoka tuombe mungu tu,yasipotoka basi tusubir wiki ijayo.
  12. Mejamajizo

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Hahahahahaaaaaa
  13. Mejamajizo

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali

    Ya mtu wa kubadilishana nahuyu rafiki yangu mi mi bado nasubir majina ya uhamisho
Back
Top Bottom