Uhamisho wa watumishi wa Serikali

uhamisho wa ndan ya wilaya vbal vshatoka ila huu wa nje ya mkoa ndo cjui ln ila kuna jamaa kanambia ijumaa hii au j3 next wk..
 
Mi pia nasubiria japo kuna mtu wa jikoni kanihakikishia leo kuwa jina langu liko kwenye list itakayotangazwa. So anytime wataweka mtandaoni.
 
Mi pia nasubiria japo kuna mtu wa jikoni kanihakikishia leo kuwa jina langu liko kwenye list itakayotangazwa. So anytime wataweka mtandaoni.
Mi pia nasubiria japo kuna mtu wa jikoni kanihakikishia leo kuwa jina langu liko kwenye list itakayotangazwa. So anytime wataweka mtandaoni.
So amekwambia wauatoa leo au anytime? Anytime haina ukomo. Au hakuwa specific?
 
Hapa tunasubir majina ya uhamisho tu sio masuala ya kidato cha pili. Jaman mwenye taarifa juu ya lini majina ya uhamisho atujuze tafadhar.
 
PUNGUZENI JAZBA, HAPA MTAPEANA MOYO TU, ILA SIKU YAKITOKA MTAJUA, KUTOA MATUSI NA WENGI WENU NI WAALIMU HII INAWAFANYA WATU WAZIDI KUAMINI MSEMO WA KWAMBA KIMBILIO LA WALIO FELI NI UALIMU NA UPOLICE,, WAKATI KUNA WATU WALIO NA UFAULU MZURI NA WASTAARABU WAPO KATIKA SECTOR HIZO,
UALIMU NI PROFESSION INAYO HESHIMIKA SANA MAANA NI SOURCE YA TAALUMA ZINGINE SO TYR YOUR POSSIBLE LEVEL BEST TO MAINTAIN THAT CREDIBILITY.
 
Hyo Taarifa ya matokeo ya kidato cha pili ilikua sio taarifa mbaya sana japo mnasubr uhamisho, sikufanya ivo kwa nia mbaya nilijua wengi wenu ni waalimu hivo inge saidia pia,
Lakini mtu anatoa maneno kama hayo ,
Kama baadhi ya walimu mnakosa HEKIMA kiasi hicho na ndio mnawafundisha wadogo zetu n hatari sana kwa ukuaji wa elimu, nchini. Plz distinguish yourself from unskilled ones.
 
Hivi vitendo vya matusi waachieni WAHUNI sio nyie watu wenye heshima kubwa Duniani, mkiendelea hivi mtajipunguzia heshima na hata serikali kuwaona ni watu wasio stahili heshima na hata kutowajali katika mazingira yenu ya kazi na kuanza kulalamika mmetelekezwa na serikali kumbe heshima yenu mme ishusha wenyewe,
 
Back
Top Bottom