Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

Barua za Kibali cha Uhamisho toka Tamisemi

Jaman mbona barua za kibali cha uhamisho hazifiki hapa Tabora uyui,kila ukienda unaambiwa bado.
 
Kwa wale walio omba uhamisho waangalie majina wameongeza mengine
 
Hawa jamaa wanazingua maana walisema ztakuwa tiyar 22 sasa najiulza znakuja kwa njia gan hdi sasa zsiwepo. Hku Nanyumbu- Mtwara bado kabsa.
Pole kiongozi, barua hiz huwa zinatumwa kwa ems au posta, pia huwa wanatuma kwa mafungu, utakuta wenzio zinafika yako bado na mko halmashauri moja, vumilia tu, hata mimi nilishapita huko,
 
Back
Top Bottom