Recent content by MEING'ATI

  1. MEING'ATI

    Umri wa kujiunga na mgambo

    IUmeeleza vema ila huku tunataka tuhamie kenya maana watu wanashikwa kwa lazima hata huku mtaani halafu tunaambiwa hata kama hutaki watakuja kutushika manyumbani na wakikupeleka wanakumwagia maji mavhafu na matope vijana wametoka huko full matooe hii imewafanya wengi kutorikea kenya hii hali...
  2. MEING'ATI

    Umri wa kujiunga na mgambo

    Hapa nimeoenda mumbe hawa wanaotuambia huku mtaani ni lazima wanatoa wapi huo msemo
  3. MEING'ATI

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO MBONA KILA MAHALI SIKU HIZI TUNAAMBIWA NI 320000 UMEME?
  4. MEING'ATI

    Umri wa kujiunga na mgambo

    Hi wadau! Naomba kueleweshwa kwa wadau kuhusu hii kitu inaitwa mgambo. Je umri wa kujiunga ni kuanzia miaka mingapi? Na je mtu ambaye hapaswi kujiunga anatakiwa awe na miaka mingapi? Pia je kama mtu ana matatizo kama maginjwa ya akili na magonjwa kama kifua figo na ini anaruhusiwa? Mwisho...
  5. MEING'ATI

    Msaada: Chanels hazifunguki kwenye TV yenye kingamuzi ndani

    Inategemea ni kingambuzi gani iko ndani ya tv yako. Kwamelezo yako ni ya antena ambayo tv nyingi siku hizi tv nyingi zinazo angalia kama ina ya satelite ndio unaweza pata channel nyingi Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
  6. MEING'ATI

    Masada kufungua kinga'amuzi kinacho tumia laini

    Tatizo sio dicoda eleza unataka channel zipi na umtafute fundi akufungie juu ukitumia kwa dstv,azam au startime packeg lazima ziwe scrambo. Pia elewa dicoda nyingi kama hizo ni kwa ajili ya Fta kwa hio hutumiaka kwa feed hivo lazima uwe na dish kuanzia ft 8 kwenda mbele ndo utainjoi la sivo...
  7. MEING'ATI

    Wanasiasa tendeni mema ili mkifa tuwasifie kwa mazuri

    Kesi yake iliyomfunga yule Gaidi wa Magu ilikuwa nini vike? Maana kama ni kubaka itakuwa amekuabza wewe kukubaka hio akili mbovu ndo maana unahalalisha matendo hayo Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
  8. MEING'ATI

    Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    Pole Ndugu utapata MUNGU NI MKUBWA ATAKUFANIKISHA Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
  9. MEING'ATI

    Nimuoe yupi kati ya huyu mwenye degree na darasa la saba

    Siku ukiwa mwanaume nitafute mvulana bado hajaiva ndo mwenye mambo ya kitoto kama haya yako Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
  10. MEING'ATI

    Naomba msaada wa kuhusu unit za umeme ghetto kwangu

    Una mashine ya kusaga,kubaraza na kukoboa mahindi Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
  11. MEING'ATI

    Naomba msaada wa kuhusu unit za umeme ghetto kwangu

    Basi wapangaji tunapigwa sana na hawa wenye nyumba Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
  12. MEING'ATI

    Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Punyeto mbona rahisi kuacha tafuta mademu ika nao visirani unaweza ukasema bora punyeto maana Kaswende,kisonono na Ngoma hupati wala hutakuwa na wasi nazo japo nayo no dhambi balaa. Kubeti hata ukiomba huachi labda uamue tu kuacha naachaga hata mwezi ila baadae narudia kidogo ila naona ushindi...
  13. MEING'ATI

    Nimepata vipele kwenye ulimi baada ya kuzama chumvini kwa mke wangu

    Jamani pole usipende kufanya vitu ambavyo hujaagizwa na MUNGU Kufanya mimi mwenyewe ni mzinzi ika najilaumugi sana ila kulamba ujinga kama huo sifanyi
Back
Top Bottom