Habari za mida hii. Naomba msaada wa vitabu vya a level audio books vya novels na plays. Naomba kuwasilisha. Ikishindana hata vya kawaida nikipata kwa pdf nitashukuru pia.
Lazima tuangalie hili swala kwa makini kama hawa wanarudishwa nyumbani basi wanafunzi wa advance warud kwao na kusiwe na advance hadi matokeo ya ndalichako yatoke.
Sasa kwani alienda pale udom alikuwa na div four mbona mambo mengine ni ya ajabu sana vijana wameamua wasiende advance ili waende chuo leo hii wanarudishwa. Mm nadhani waziri wa elimu alitolee maelezo kwanini wanafunzi wanarudishwa nyumbani.
Tuna misingi mibovu ya Elimu hiyo lugha haimaanishi kwamba walimu hawaimudu tatizo lipo kwa wanafunzi asilimia kubwa ya wanafunzi kwa kweli kingereza ni shida na si tu speaking skills hata skills nyingine mfano listening, writing na reading bado ni tatizo kufaulu kwa mtoto si kuongea kingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.