Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,716
- 1,673
Habari ya wikendi wanajf.
Mimi binafsi ni mzima wa afya njema. Pole ziwafikie wagonjwa, rafiki na familia waliopoteza watoto katika ajari ya gari huko karatu, R.I.P.
Nina mdogo wangu alihitimu elimu ya sekondari mwaka juzi 2015 kwa mchepuo wa PCM ila ufaulu wake haukuwa mzuri, PHY-E, CHEM-E na ADV MATHS-F.
O-level alikuwa na daraja la 1 nukta 17. Je kwa sifa zake anaweza kuomba na kudahiliwa chuo cha ualimu diploma? Maana hana sifa ya kujiunga chuo kikuu. Kazi yake kwa sasa anajitolea kufundisha masomo ya sayansi shule ya kata O-level.
Msaada jamani