Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Tuendelee kuwa na subira, maana ajira zitatoka hivi karibuni! Kama wanavyosisitiza Mawaziri wa Wizara husika!
Hahahaha!Ajira hazitachelewa sana wala kuwahi sana.
atasaidia nini zaidi ya tamko lingine?Muad waziri humu tumuulize maswali
Inawezekana likawa la vibali kuruhusiwa ajira huoni atakuwa ametusaidiaatasaidia nini zaidi ya tamko lingine?
Serikali ina mpango gani mpaka sasahv?
Bado тυnaғanya мcнaĸaтo wa ĸυтaғυтa wanaғυnzι нewa тυмeмalιza waғanyaĸazι нewa υѕιĸaтe тaмaa wew ĸυla ĸwa мaмa lala ĸwa мaмa тυтaĸυajιrι мcнaĸaтo υĸιĸaмιlιĸa



