Recent content by Meddy Rajabu

  1. Meddy Rajabu

    Kampala international university Tanzania inatangaza nafasi za masomo

    Kwa wale wenye uhitaji wa kujiunga na Chuo chetu kwa kozi za: *Afya: Clinical medicine Laboratory Pharmacy *Computer. *Law. *Administration. *Business Administration. *Marketing. Kwa Ngazi ya CERTIFICATE na DIPLOMA, karibu KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY TANZANIA. Form za kujiunga ni...
  2. Meddy Rajabu

    Nashukuru sana kilio changu cha ajira kwa walemavu kimesikika

    Hii ni vyema sana... kwani ulemavu sio kushindwa.... Hawa wanaweza kutenda kama sie.. nao wapewe vipaombele wakatumikie taifa lao. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Meddy Rajabu

    Shaka: CCM hata akibaki mtu mmoja tutashinda tu na hatutaachia dola hata iweje

    Unaota ndoto mchana jua kali... CCM inazidi kuteka watu... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Meddy Rajabu

    Shaka: CCM hata akibaki mtu mmoja tutashinda tu na hatutaachia dola hata iweje

    haina maana ya Kutokuwa na uchaguzi wa huru na haki.. maana sahihi ni..kuwa CCM inajisimamia yenyewe haina kuyumba ni utendaji tuu uliotukuka... hivyo Dola haki yetu Daima. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Meddy Rajabu

    Soma Chuo bora cha kimataifa

    STUDY AT KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY(KIU)- DAR ES SALAAM FOR OCTOBER INTAKE APPLICATION IS ONGOING *****APPLY NOW***** *DO NOT BE LEFT BEHIND* PROGRAMMES OFFERED AT SCHOOL OF HEALTH SCIENCES Degree Programmes Bachelor of Medicine & Surgery(MBChB)[emoji68]‍ >Entry Requirements↓...
  6. Meddy Rajabu

    Tangazo la sponsorship KIU-Dar ngazi ya cheti hadi digrii

    minimal ni 4 passes at least with "D" from non religious subjects... there you can apply for Certificate.
  7. Meddy Rajabu

    Tangazo la sponsorship KIU-Dar ngazi ya cheti hadi digrii

    MINIMAL.... D kuanzia nne za non religious subjects.
  8. Meddy Rajabu

    Tangazo la sponsorship KIU-Dar ngazi ya cheti hadi digrii

    Ahsante.. vigezo ni kama ifuatavyo mwanafunzi atokaye katika familia isiyo na uwezo Yatima aliyepoteza wazazi wote au mmoja, mlemavu pia ufaulu utazingatiwa FIKA ofisi ya mkuu wa wilaya husika kwa ajili ya kufanya Application sasa.
  9. Meddy Rajabu

    Tangazo la sponsorship KIU-Dar ngazi ya cheti hadi digrii

    KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY - DAR ES SALAAM. Chuo kinatoa mafunzo ya Elimu ya juu, kuanzia ngazi ya certificate, diploma, degree na Masters... kwa kozi za AFYA ELIMU SHERIA BIASHARA COMPUTER SOCIAL SCIENCE ADMINISTRATION DEVELOPMENT STUDIES n.k Chuo cha kimataifa Kampala. Kimetoa nafasi...
  10. Meddy Rajabu

    Msaada wa chuo cha clinical ofisa kizuri cha binafsi

    KARIBU KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY - DAR ES SALAAM.. TUPO GONGOLAMBOTO. Chuo bora na kinachotoa elimu bora kwa gharama nafuu zaidi. KOZI YA CLINICAL OFFICER ipo kuanzia ngazi ya cheti... halikadhalika Pharmacy, na maabara zinatolewa chuoni hapo... kwa maelezo zaid tembelea tovuti yetu...
  11. Meddy Rajabu

    Naomba kujua maisha ya Uganda kwa mwanafunzi

    Habari... kwa mara ya kwanza kama unasafiri na bus utashuka... NAMAIBA BUS STATION [emoji579].. kwa ndege utashuka ENTEBE...mjini kuna HOTELS, LODGE n.k price ni kuanzia shs 30,000/= 40,0000/= UGX (UG SHS). Kama chuo kipo mjini KATI kuna sehemu inaitwa Kansanga, makindye.. huko kuna vyumba...
  12. Meddy Rajabu

    Vyuo vya afya vya private wakuu

    0719568659 kwa mawasiliano zaidi.
  13. Meddy Rajabu

    Vyuo vya afya vya private wakuu

    Habari yako.. karibu KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY.. DAR ES SALAAM COLLEGE... MIMI NI AGENT WA CHUO HIKO. KUNA KOZI ZA AFYA, HUMANITIES PAMOJA NA BIASHARA KUANZIA NGAZI YA CERTIFICATE MPAKA MASTERS eligibility ni kulingana na vigezo vilivyowekwa na TCU kwa undergraduate na NACTE kwa...
  14. Meddy Rajabu

    Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    mm nasoma kiu... hayo wanayosema hakuna ukweli njoo chuo usome
  15. Meddy Rajabu

    Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    njoooo usome kiu kipo vizuri na kimesajiliwa, achana na maneno ya wapambe....
Back
Top Bottom