Vyuo vya afya vya private wakuu

Vyuo vya afya vya private wakuu

Nimemaliza form four 2006 na kupata ccc...sayansi nkassoma pcb advance nkamaliza 2009..jenaweza pata chuo cha serikali ..diploma ya clinical officer
 
Naomba mnisadie apa nina phy D Chem D na biox C naweza kuxoma pharmarcy kwa ngaz ya diploma chuo cha private na nina 3 ya 23 nimelza mwaka jana
 
Naomba mnisadie apa nina phy D Chem D na biox C naweza kuxoma pharmarcy kwa ngaz ya diploma chuo cha private na nina 3 ya 23 nimelza mwaka jana
Hapo utaanzia Certificate Maana vigezo ni Phy at least D Chem&Bio Ziwe C
 
Ah! Mbona nachanganyikiwa?! Nimemaliza mwaka jana (2016), naruhusiwa kuapply muda huu?
 
Habari yako.. karibu KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY.. DAR ES SALAAM COLLEGE... MIMI NI AGENT WA CHUO HIKO.

KUNA KOZI ZA AFYA, HUMANITIES PAMOJA NA BIASHARA KUANZIA NGAZI YA CERTIFICATE MPAKA MASTERS eligibility ni kulingana na vigezo vilivyowekwa na TCU kwa undergraduate na NACTE kwa Diploma & certificate.

0719568659 kwa mawasiliano zaidi.
 
Sawa mkuu
 
Ushauri dogo ana
Biology B
Chemistry C
Physics C
Ila hesabu ana F
Je anaweza pata chance kusoma diploma za afya
 
Back
Top Bottom