Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,249
- 5,312
Wapo watu waliomba vyuo vingine kabisa machaguo yote matatu lakini wamepangiwa chuo kingine kabisa.
Je mnalijuwa hilo?
Bro kwa uelewa wangu,hiki kitu HAKIWEZEKANI
Either utapata moja kati ya uliyochagua au utakosa kwenye hiyo round
Wanachosahau hawa vijana ni kuwa machaguo yote matano yana chance sawa ya kuwa selected kwa hiyo huwa wanachagua kozi yoyote ili tu kujaza nafasi na mwishowe mtu anachaguliwa chaguo la tano ambalo hakua na nia nalo ,na hapa ndipo shida inapoanzia