Recent content by meddie

  1. meddie

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

    Magufuri Magufuri alikuwa ameanda cabinet na bunge na maafisa mbali mbali wakutumika kutimiza lengo lake. Ndio maana alifanya kila umafya kuua upinzani na kuua wapinzani nchi ibaki na watu aliyowaanda kusema ndio kwa kila alichotaka ikiwa ni pamoja na kuextend muda wa kukaa madarakani kama...
  2. meddie

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

    Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya! Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
  3. meddie

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Askali walikuwa wa zamani....wakisikia mlio wa lisasi wanacharge....wa leo wanacharge wakijua ni CHADEMA. Kwenye lisasi wanajificha
  4. meddie

    JamiiForums Tanzania Pamoja na baya haya, bado watu wanasema CCM Oyee!

    CCM OYEE! 1.Ajira kwa vijana hakuna...CCM OYEE 2. Wafanyakazi hakuna kuongeza mishahara...CCM OYEE 3. Wakulima wa korosho hawalipwa ...CCM OYEE 4. Watu mtaani ni kuombana ombana pesa tu ...CCM OYEE 5. Baadhi ya watu ni miungu watu...CCM OYEE 6. Watu kubomolewa nyumba na kufa kwa presha...CCM...
  5. meddie

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa Zanzibar kujitenga na Tanganyika

    Wazanzibar wakwende zao tu
  6. meddie

    JamiiForums Tanzania Sioni Facebook App katika simu yangu, nini shida ?

    TECNO CAMONX
  7. meddie

    JamiiForums Tanzania Sioni Facebook App katika simu yangu, nini shida ?

    Nimefa hivyo several time kabla ya kuomba msaada ikashindikana
  8. meddie

    JamiiForums Tanzania Sioni Facebook App katika simu yangu, nini shida ?

    Sioni wala siwezi Ku access Application ya Facebook kutisimu yangu. Tatizo nini? Imepotea tu yenyewe na hats application list za kwenye simu haipo! Tafadhali msaada kujua kwa nini and how
  9. meddie

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wafikishwa katika Mahakama ya Kisutu kwa kuendesha biashara ya Upatu

    Nani kufungua kesi? Mshitaki ni nani?
  10. meddie

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kupozea/kuhifadhia maziwa

    Husiseme hivi si ustaarabu
  11. meddie

    JamiiForums Tanzania Spicio or Raum inatakiwa!

    Gari inatakiwa... Bei Milioni 5. Na Gari iwe kwenye good condition.
  12. meddie

    JamiiForums Tanzania Ginger and cardamon Buyer needed

    Thanks for your comments....i can send you details if you are prospect buyer! Business details are always recerved for parties involved in business
  13. meddie

    JamiiForums Tanzania Ginger and cardamon Buyer needed

    Kuanzia ton moja
  14. meddie

    JamiiForums Tanzania Ginger and cardamon Buyer needed

    There are over 20tons of raw ginger, a buyer needed! Apart from fresh ginger there are also dried high quality cardamon over 10tones. Plz inbox if you are a buyer
  15. meddie

    JamiiForums Tanzania Wanawake mmeigeuza bidhaa adimu

    Swala si kukosa pa kupokea, tatizo unakuta demu anakufatilia sana mwisho unaona ngoja umpatie na unakuta hajapata uduma muda mrefu , alafu analeta mambo ya kijinga
Back
Top Bottom