Nahitaji mashine ya kupozea/kuhifadhia maziwa

Nahitaji mashine ya kupozea/kuhifadhia maziwa

burhan6196

Member
Joined
Aug 23, 2018
Posts
65
Reaction score
84
Habari za muda huu,
Nilikua naulizia sehem zinapo uzwa mashine za kuhifadhia maziwa na bei zake.
Uwezo wa kuhifadhi uwe kuanzia ltr 100 na kuendelea.

Ahsante
images(3).jpg
images(2).jpg
 
Pasteurizer nzuri mpaka uagize.. bei inaanzia milion 7 na kuendelea
 
Back
Top Bottom