Recent content by Mechanism Of Action

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Kumbe wewe ndiye mungu!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kupotea taratibu kwa alama ya Kanisa Katoliki katika kupinga dhuluma

    Mleta hoja shida yako kubwa unacho moyoni unachotaka kanisa liseme na unao upande ambao unataka kanisa liuunge mkono.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

    Siasa za uongo na kiki,unamtafuta ng'ombe mwenyewe na unaandaa wazee ili wakukabidhi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Tundu Lissu hana sifa za kiongozi. Bahati zaidi hata kujifunza hataki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Tanzania kuzingatia kanuni za kisayansi kupambana na COVID 19

    Mbona chanjo ya HIV na TB hawajaiongelea?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Kenya, Uganda, DR Congo na jirani wengine waanza kupokea chanjo ya COVID 19. Burundi na Tanzania - NO DATA YET

    Wewe ushahidi unao? Ulichokiandika ndicho anachokifanya.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, nitajie kituo Cha mabasi cha Wilaya au mkoa chenye Hoteli yenye hadhi Kama hoteli binafsi zinazohusu abiria wa safari ndefu

    Una hoteli nini? Au yawezekana haujawahi kukumbana na usumbufu huu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, Wafadhili hawatatoa fedha na huo ndio utakuwa mwanzo wa Wabunge wasio na ridhaa ya chama kugeukwa

    Akili zenu zinawaza wafadhili tu, kila linalo tokea wafadhili, aibu kubwa sana kuwa kundi linalojiona lina akili kuliko wengine halafu kwenye ubongo wamejaa wafadhili!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

    Wakuu bila kuwachosha, nashauri kamati kuu ya CHADEMA ionyeshe sifa bora za kiongozi katika kutoa maamuzi sahihi kwa wabunge wa viti maalum, pasipo kutawaliwa na hisia, mitandao, msukumo wa watu wa nje n.k ,watawaliwe na kuongozwa na sifa za kiongozi bora katika kipindi kigumu. Nawasilisha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

    Naomba sifa za chama kikuu cha upinzani bila ya hili kundi la viti maalumu kuwa bungeni!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

    Maendeleo hayana chama tupige kazi
  12. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

    Kama kweli watatoa msimamo wao kabla ya kikao kilichoitishwa na Km watazibitisha CHADEMA ni mkusanyiko wa kikundi cha wanakikundi wasio na taratibu za kuendesha kikundi chako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

    Hana tofauti na Savimbi, fuatilia wapigania nchi zao wenye nia ya ukombozi kama walifanya anayoyafanya Lisu.
Back
Top Bottom