paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,504
- 3,499
Uko upande wa mabeberu??We ongea ki mataga tu, kwa sababu ninyi akili zenu ziko ndani ya friji, Anko Magu ndiye pekee anayefikiria kwa niaba yenu.
Watoto na wajukuu zenu watakuja kushangaa kwamba, ilikuwaje mkawa wajinga kuliko chifu Mangungo wa Msolopa ambaye aliingia mkataba akiwa hana elimu ya aina yoyote
Mtukome!!