Kwani cdm ni act?Hata kama kusoma hujui hata alama huoni?? Umesikia kinachoendelea huko Pemba? Wanakusanya maoni ili Sefu awe makamu wa kwanza wa rais ama asiende! Tuma maoni!
Kwani cdm ni act?Hata kama kusoma hujui hata alama huoni?? Umesikia kinachoendelea huko Pemba? Wanakusanya maoni ili Sefu awe makamu wa kwanza wa rais ama asiende! Tuma maoni!
Ww unaona Hawa ni wapuuzi bcoz haujui umuhim waoHoja sio ubunge kwa sababu watalindwa na hao ccm waliopanga hayo baada ya kuhujumu uchaguzi, hoja hapa ni kulinda katiba ya chama.
Chama lazima kiwafukuze ili liwe onyo kwa mpuuzi yeyote anayedhani yeye ni mkubwa kuliko chama.
Aliondoka Slaa na Zitto sembuse hawa wapuuzi tu?
Wewe sema hivi. Leo ni siku ya historia ambayo KATIBU MKUU wa chama cha Chadema kung'atuka baada ya kuona viongozi wenzake wamempuuzia kutokana na ujinga wake wa kutaka kukikosesha chama RUZUKU ya angalau at least MILION 40 ya kila mwezi. Hapo nani akubali ujinga huo. Mbowe timua huyo kikaragosi anataka kuua chama chetu pendwaNi imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama.
Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na pigo kwa watu wa chama fulani na mamluki wao pamoja na taasisi zote zilizohusika katika hujuma hii iwapo CHADEMA watafanya maamuzi hayo ya kuwafukuza wasaliti hawa katika kikao chao cha leo tarehe 27/11/2020.
27/11/2020 itakuwa ni siku ya kukumbukwa. Kazi kwenu CHADEMA.
Ulishaharibu ulipodai eti CHADEMA waliandaa list yenye mahawara wa viongozi. Kwa akili zako hta kma CHADEMA ingeamua kupeleka list ya wabunge ingewaacha kina Bulaya,mdee,Agnesta n.k?Mzizi mwingine nikwambie basi
Leo wakina Mdee hawatokwenda kwenye kikao cha kamati kuu
Na Mzizi mwingine nikwambie ni kuwa kamati kuu yenyewe imeshavurugana kati ya wanaosema yes na no
Na kikao sio makao makuu Tena ni bahari Beach
Umesahau kama Seif alimpigia kampeni Lisu, unadhani kura 12M angepata Lisu bila Maalim? SHUKRANI YA PUNDA NI TEKEKwani cdm ni act?
Wale waliomba radhi na walikiri makosa yao wakasamehewa.Hata kwenye issue ya wale wabunge wa Rombo na Moshi Vijijini na Kubenea ulisema hivyo hivyo tu. Lakini kwa kuwa wewe si chochote kwenye saccos wala hawakukusikiliza na leo nafikiri itakuwa hivyo hivyo!
Naona madada wanawachezesha disko,baada ya Dj kuwaachia kazi ya kupiga disco.Huyu nilimuona ana jitambua sana ana misimamo sana leo hii amefungwa miezi 5 anaachiwa anakubali vyeo vya wizi?
Inashangaza sana
Aaah wapi, Alishindwa Zitto na Slaa wataweza hawa waliopata viti maalum kwa kuibuliwa na Mbowe kipindi ambacho hakuna aliyewafahamu?Naona madada wanawachezesha disko,baada ya Dj kuwaachia kazi ya kupiga disco.
hakuna haja ya kuchochea mgogoro mimi kwangu haki itendeke sio kuandika historia,usiandike historia bila kufanya maamuzi ya haki.Unajuaje kama wanamakosa kama kuna mtu aliwateua?Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama.
Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na pigo kwa watu wa chama fulani na mamluki wao pamoja na taasisi zote zilizohusika katika hujuma hii iwapo CHADEMA watafanya maamuzi hayo ya kuwafukuza wasaliti hawa katika kikao chao cha leo tarehe 27/11/2020.
27/11/2020 itakuwa ni siku ya kukumbukwa. Kazi kwenu CHADEMA.
Hivi adhabu pekee ni kufukuzwa ?
Wakuu bila kuwachosha, nashauri kamati kuu ya CHADEMA ionyeshe sifa bora za kiongozi katika kutoa maamuzi sahihi kwa wabunge wa viti maalum, pasipo kutawaliwa na hisia, mitandao, msukumo wa watu wa nje n.k ,watawaliwe na kuongozwa na sifa za kiongozi bora katika kipindi kigumu. Nawasilisha