Recent content by meca

  1. meca

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Zuma: RC wa Dar anena haya

    Zuma Must go, Zuma is a Thief
  2. meca

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Ubalozi wa Israel nchini na Uzayuni

    Israeli ni kama Maji huwezi kuikwepa, ,,,,Dunia Yote inajua waulize waliowajaribu wakapigwa kwa Siku sita mpaka leo wanalia
  3. meca

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Mkuu unaelewa Jinsi Chid alivyoharibiwa na haya madawa afu hutaki aisaidie Polisi eti tusubiri mahakama hata changes ya mwili wake ni mahakama tosha
  4. meca

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Waziri wa wasanii anaogopa atakosa zile Birthday party za hela za udenda haiwezekani Raisi mdhibiti waziri wako huyu asiingilie hii vita haimuhusu
  5. meca

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Nape Nnauye anawatetea " Wauza Unga " eti wasiharibiwe " Brand " Hivi Chidd Benz ana Brand gani ya kuharibiwa au Wema ...... Raisi Muonye huyu Waziri asimbugudhi mkuu wetu wa mkoa
  6. meca

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wakulima pandisheni bei za mazao kadri mtakavyo

    Watanzania kwakuuza mazao pindi wavunapo na kubakiza mbegu leo ni nani ana akiba Tumpate wapi Farao atakayeota lakini kukubali Tafsiri na ujumbe wa ndoto toka kwa Yusuffu
  7. meca

    JamiiForums Tanzania ‪Rais Magufuli: Viongozi wa dini mnivumilie kwakuwa fedha zitaendelea kupotea hata kanisani...‬

    Hivi hao walinzi wanapata Muda wa Kusali kweli?
  8. meca

    JamiiForums Tanzania Ben yupo kwenye Mfungo na Maombi?

    Nimekuwa Nikimuombea Ben ,,kwa siku sasa leo katika kusikiliza (meditate ) nimesikia Je kama Ben yupo kwenye mfungo wa siku 40? Ameamua kutulia na kumaliza mwaka kwa Maombi yenye nguvu ya Mfungo, ,,itakuaje Akina Kubenea na wenzake itakuwa vipi?
  9. meca

    JamiiForums Tanzania Daily Nation : Kilimanjaro is in Tanzania,Because Mombasa is in kenya

    Ngorongoro ipo kenya pia,,,,,ziwa nyasa lipo Malawi, ,,,,,Duuu back Tanganyika ase hawa watanzania hapana
  10. meca

    JamiiForums Tanzania ITV Wamekaushia Press Ya Lissu,Kesi ya CUF na Ya Lema

    Nina siku nyingi sijalipiia King'amuzi ,,, Tanzania hamnaga habari kuna Ripoti na ripoti hata fb na JF zipo
  11. meca

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili suala la GPA 3.8 kwenye ajira

    Tulia Sindano Iingie
  12. meca

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili suala la GPA 3.8 kwenye ajira

    Mtu una GPA ya 2 na wewe unataka u ka fundishe?
  13. meca

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Rais wa Zanzibar (Dr. Shein), nimemkumbuka Hayati Dr. Sengondo Mvungi

    Kama Zanzibar ni Nchi basi Tanganyika nayo iwe Nchi na Tanzania iwe Muungano wa Nchi hizi na zote zitamkwe Nashukuru Shein ameanzisha mjadala utakaoturudisha kwenye Rasimu ya Jaji Warioba ukweli ni kwamba Serikal tatu haikwepeki
  14. meca

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Nani alaumiwe UKAWA, CCM, Kikwete au Magufuli

    Hili nalo neno
Back
Top Bottom