Naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili suala la GPA 3.8 kwenye ajira


Eyes_blogger

Eyes_blogger

Senior Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
119
Likes
80
Points
45
Age
29
Eyes_blogger

Eyes_blogger

Senior Member
Joined Nov 30, 2016
119 80 45
Naomba kuuliza nimesikia kua ajira za mwaka 2016-2017 lazimq uwe na gpa ya 3.8 sawa kama ni kweli naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili na kwa wale wenzangu na mimi ulipewa mkopo na hukufikisha gpa iyo so hautapata ajira?

Na huu utaratibu umeanza sasa hivi kwa waliomaliza hapo nyuma si utawaathiri wengi au anyway naomba ufafanuz ili nami nielewe. Naomba kuwasilisha
 
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
6,829
Likes
4,266
Points
280
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
6,829 4,266 280
Muda wa kusoma mkawa mnakimbizana kwenye maandamano na kupiga deki barabara sasa hivi mnaanza kusumbua.

Wenye uwezo ndo watakaoajiriwa.
 
Shashi nalley

Shashi nalley

Senior Member
Joined
Nov 5, 2016
Messages
137
Likes
111
Points
60
Age
29
Shashi nalley

Shashi nalley

Senior Member
Joined Nov 5, 2016
137 111 60
GPA, zimegawanyika katika makundi makuu matatu,
Mfano first class 4.4_5,5
Upper second class3.5_4.3
Low second class 2.7_3.7
And pass
Tusubili serikali isema, kama itaajiri kwa GPA au LA, thanx
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
8,480
Likes
2,538
Points
280
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
8,480 2,538 280
GPA, zimegawanyika katika makundi makuu matatu,
Mfano first class 4.4_5,5
Upper second class3.5_4.3
Low second class 2.7_3.7
And pass
Tusubili serikali isema, kama itaajiri kwa GPA au LA, thanx
Mbona umechanganya upper na lower second? Tazama vizuri hizo ranges ulizoweka.
 
Shashi nalley

Shashi nalley

Senior Member
Joined
Nov 5, 2016
Messages
137
Likes
111
Points
60
Age
29
Shashi nalley

Shashi nalley

Senior Member
Joined Nov 5, 2016
137 111 60
Thanx hizo in kwa degree tofauti na diploma kama kuna Makosa ,toa hisia , dukuduku na lekebisha thanx
 
T

TEACHER FRANK MSIGWA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Messages
539
Likes
441
Points
80
T

TEACHER FRANK MSIGWA

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2016
539 441 80
Naomba kuuliza nimesikia kua ajira za mwaka 2016-2017 lazimq uwe na gpa ya 3.8 sawa kama ni kweli naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili na kwa wale wenzangu na mimi ulipewa mkopo na hukufikisha gpa iyo so hautapata ajira? Na huu utaratibu umeanza saiz kwa walio maliza hapo nyuma si utawaathiri wengi au anyway naomba ufafanuz ili nami nielewe. Naomba kuwasilisha
Hivi nyi vijana wa sikuhizi mbona mnakuwa hamna akili hivi..umesikia kwa nani???
 
boaz mwalwayo

boaz mwalwayo

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
5,630
Likes
3,952
Points
280
boaz mwalwayo

boaz mwalwayo

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2015
5,630 3,952 280
Muda wa kusoma mkawa mnakimbizana kwenye maandamano na kupiga deki barabara sasa hivi mnaanza kusumbua.

Wenye uwezo ndo watakaoajiriwa.
Weka matokeo yako ya chuo kama una GPA 2.0
 
MNYAMAKAZI

MNYAMAKAZI

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Messages
2,141
Likes
2,084
Points
280
MNYAMAKAZI

MNYAMAKAZI

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2014
2,141 2,084 280
Ni ujinga na kukurupuka tu. Wataajiriwa wa vile vyuo tu. Hata mkuu niliwahi kumsikia anaongelea GPA kama kigezo cha weledi, hopeless! Mbona watu wana hadi PhD na kiingereza walichotumia kusomea hawajui kukizungumza? Mambo ya ajabu ajabu tu.
 
Shemtibuko

Shemtibuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
731
Likes
996
Points
180
Shemtibuko

Shemtibuko

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
731 996 180
Hizo ni sababu tu, bora waseme tutaajiri wachache. Matokeo halisi yako kidato cha sita na cha nne ndio maana tunapata Tanzania one kutokea huko, jinsi mfumo wa chuo ulivyo, GPA hupikwa chuoni hivyo si ajabu chuo kitakachotoa graduates wengi wenye GPA kubwa kinalegeza elimu au sababu nyingine kufanya elimu biashara.
 

Forum statistics

Threads 1,272,658
Members 490,101
Posts 30,456,485