Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Nimeangalia habari ITV saa 2 leo.Kuna kitu kimenistua.
1.Habari ya wafuasi wa Lipumba na Seif kupigana mahakamani mpaka kupelekea kuchomana visu.Haijatangwazwa.Niliiona AyoTv nikajua ITV nitapata kwa undani ila imepotezewa.
2.Press ya Tundu lissu leo kuhusu Bensaanane na mengineo.ITV wameikaushia.Nayo nilitarajia kuipata kwa undani.
3.Leo ilikuwa ni kesi ya Lema arusha,Nilikaa mkao wa kula ili nijue kuhusu dhamana na nini kilitokea mahakamani.ITV wameikaushia pia.
4.Swala la Max wa JF na polisi kuingia ofisi zao nalo wamekaushia.Nimelisikia DW tu.
Nimestuka maana hizi ni habari watu tulikuwa na kiu nazo.ITV nowdays sio wale niwajuwao.Kipo kitu sio bure!!