Ben yupo kwenye Mfungo na Maombi?

meca

JF-Expert Member
Sep 19, 2014
403
201
Nimekuwa Nikimuombea Ben ,,kwa siku sasa leo katika kusikiliza (meditate ) nimesikia Je kama Ben yupo kwenye mfungo wa siku 40? Ameamua kutulia na kumaliza mwaka kwa Maombi yenye nguvu ya Mfungo, ,,itakuaje
Akina Kubenea na wenzake itakuwa vipi?
 
Back
Top Bottom