Recent content by meaganita

  1. meaganita

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Link ya Polepole Conference

    Vpn
  2. meaganita

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Link ya Polepole Conference

    Same here
  3. meaganita

    JamiiForums Tanzania Polisi yahimiza Wananchi wote kuwa waangalizi wa Watoto

    Kama wAziri amesema hakuna utekaji kwa nini watoto walindwe
  4. meaganita

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

    Duuu yani umevundika ela badala ya kuizalisha.byebye
  5. meaganita

    JamiiForums Tanzania Naogopa kuwa mama

    Mama hajawaandaa kujituma mtapata tabu sana maishani
  6. meaganita

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Pesa, unahitaji nini sasa hivi?

    More money
  7. meaganita

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    To me nyimbo za zamani ndio zilikuwa nzur
  8. meaganita

    JamiiForums Tanzania Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Hiyo kazi kama unatafuta tu na kuipata kesho.kuliko kushauri mtu kutafuta kazi Bora umshauri kupost vituko Instagram, YouTube na TikTok
  9. meaganita

    JamiiForums Tanzania Akutwa akimbaka mtoto (binamu yake) baada ya kumrubuni kumpa Shilingi 1500

    Shetani naye kapamba moto
  10. meaganita

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa kutoka China

    Hakuna charges zozote ukimalizana na supplier ndio basi
  11. meaganita

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa kutoka China

    AliExpress ndani ya siku 14 mzigo umefika speedaf wanakuletea Hadi mlangoni.tena Kuna zile free shipping
  12. meaganita

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa kutoka China

    Ingia AliExpress nunua vitu vidogo dogo kama lipstick,hereni ,wanjan.k unzia hapo. baada ya hapo ingia fb andaa tangazo lipia bajeti iwe Dola 10 kuanzia target vizuri. Mimi nilianza na bando tu na ela ya kulipia tangazo nikapata oda ndio nikaanza kuagiza.so plan well.kila la heri
Back
Top Bottom