Recent content by MEA-MTWARO

  1. M

    VITABU VIZURI VYA HISTORY VYA BAKARI MADAYA

    Njoo WhatsApp number 0628087968
  2. M

    VITABU VIZURI VYA HISTORY VYA BAKARI MADAYA

    Ila hakijibu maswali Mengi ya NECTA Soma mfano swali la 7 Mwaka 2021, soma swali Hilo la 5 Mwaka 2021, kasome swali Hilo la 2, soma swali la 3 kama amejibu njoo hapa uandike na Mimi nitakupa 50,000 hapa hapa
  3. M

    VITABU VIZURI VYA HISTORY VYA BAKARI MADAYA

    Salaam Ndugu zangu! VITABU vya History vya Mwl. Bakari Madaya ndivyo vinavyoweza kujibu maswali yote ya NECTA bila kuacha swali hata Moja. Ni VITABU hivyo tu ndivyo vyenye content zote zilizopo katika syllabus that's why vinajibu maswali ya NECTA bila shida. VITABU vya Advance viliandikwa...
  4. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo Cha Kazi idara ya Sekondari. Njoo Tandahimba, nije Mbalari, Iringa, Njombe au mbeya Ahsanteni
  5. M

    Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo Cha kazi idara ya Elimu Sekondari. Yeye aje Tandahimba, Mimi nije Mbalari, Iringa, Njombe au Mbeya. Ahsanteni Namba ya Simu 0766877120
  6. M

    Mkiendelea kukaa kimya, Mungu atamsemea Rais Samia

    NA MWL BAKARI MADAYA 0628087968 Salaam Ndugu Watanzania wenzangu*! Naomba Leo nami niandike kidogo kuhusu watu wenye uwezo wa kusema lakini hawasemi. Ndiyo, ninaandika hapa katika Muktadha wa kuwashangaa watu wa namna hiyo kwanini hawasemi. Hawasemi kweli ingawa kweli inadhihirika lakini wao...
  7. M

    Ninachokiona ni kwamba, Rais Samia ni Rais aliyeingia katika nyoyo za watu

    Ninachokiona ni kwamba, Rais Samia ni Rais aliyeingia katika nyoyo za watu. Ni Rais anayekonga nyoyo za watu. Ni Rais anayefanya mambo na yanaokena. Anafanya maendeleo ya vitu na Watu. Ni Rais anayegusa maisha ya watu moja Kwa moja Ni Rais anayependwa na watu kutoka katika mioyo Yao Kwa...
  8. M

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Usiseme kabla ya uwepo Mungu! Hakuna neno hilo. Mungu alikuwepo hata kabla ya kabla yenyewe. Sema kabla ya Mungu kujifahamisha kwa viumbe vyake. Mungu alijifahamisha kupitia kwa manabii ambao ni binadam.
  9. M

    Hivi ukitoka hesabu ya trilion unaingia ngapi?

    Quadrillion baada yake kuna Quatrillion na ya mwisho ni Krillion. Chukua hii no kweli kweli mtupu
  10. M

    Addis Ababa Ethiopia: Hongera Rais Magufuli kwa kukitangaza Kiswahili AU

    Nampa big up Mheshimiwa. Kuongea kiingereza ni utumwa tu. Na hoja kwamba Mheshimiwa hajui kiingereza ni hoja za kupuuzwa kabisa. Anaweza yule. Hakuna anayegraduate PhD asiweze kiingereza hakuna hats kidogo. No nyinyi wenyewe ndio mnaozungumza masuala ya ukoloni mambo Leo halafu MTU akianza...
  11. M

    Waziri Mkuu Majaliwa: Marufuku kwa watu ama taasisi binafsi kuchapisha vitabu vya kitaaluma

    Kuna mwingine anaitwa Bakari Madaya, ameandika vya History 2. Ni vizuri sana, vinaeleweka hata bila ya kufundishwa na mwalimu
  12. M

    Edward Lowassa: Wako waliosema nitakufa lakini mpangaji wa yote ni Mungu

    Na Lowassa hapaswi kuyaongelea hayo. Mtu huwezi kuzungumza mbele za watu kwamba "Mimi sijawahi kulazwa" Mungu atakusikia. Nadhani nimeeleka tens sana sana
  13. M

    My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    Ndugu unaonekana ni mtu mwenye roho MBAYA usiyependa maendeleo ya watu hasa wale unaowafahamu. Hoja uliyoileta hapa imejaa chuki, husda, mtima nyongo, majungu na uongo uliokomaa kwa maana: 1. Hakuna Code of conduct ya chuo chochote nchini Tanzania kinachoruhusu mwanachuo mwenye ufaulu wa...
  14. M

    MREJESHO WA POST YA ''Kwa walimu walioko kazini au kwa yeyote atakayeguswa''

    It is incorrect to write "I give him" it is correct to write I gave him" because you are talking of simple past events.
  15. M

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Imeandikwa, ajiandaaye kutoelewa, hataelewa mpaka dahari. We umejitia kiziwi usisikie ya mheshimiwa. Sasa utaelewaje basi?. We ni miongoni mwa wale mnaochelewsha maendeleo
Back
Top Bottom